Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kitu kinacho nishangaza kwanini wakenya wanatetea upumbaavu wa serikali yao wakati wana ishi kwenye slum hapa jf ??? Kwanini wasingekuwa wanaiponda Kwa nguvu zao zote hapa jf ili kuisaidia nchi yao wenyewe !!!!???? Ila nilicho gundua kuhusu wakenya wamevunjika mioyo na nchi yao hivyo wamejumuika pamoja kuionea uchungu na wivu Tanzania
Sure, sisinwenyewe hapa jf tuna threads kibao za kuichallenge serikali hata kama tunajua wako sawa. Na ndio maana hukohuko wakenya wengine wanachota bila kuhakiki kama ni kweli wanaanza kubisha, tunawacheki tu
 
Tuacheni utani hii Library ni kali jamani, vijana wetu wasome.
871f693622262d5998bcb42110e5e4f9.jpg
125bca981bf9d0388c034ee775ed0f31.jpg
b50be3917ff963390930b54a1378a1f5.jpg
e7a3f144f1de32d0b7cc7576fc0575b7.jpg
f402f6c6c58ca3e708f5fe97d0b381df.jpg
f97d43536f8a84ddb4e178be4ec33374.jpg
f97c6737466ee29ad7b9ccbd2b7f77c3.jpg
faaaa8b511fb4849657452d8e56af619.jpg
6f78ad43f184080c8393203bcbd28d11.jpg
2dd058441a0f37da7dcffa2531ad8890.jpg
 
Sasa utajuaje na ilihali unaishi sumbawanga.
Hakuna Wilaya Tanzania unayoweza kufananisha na county zenu kama Turkana n.k. Popote mtu anaishi bila kukosa chakula na dawa, wanafunzi hawanyeshewi mvua shuleni na hawakai kwenye vitofa kama shule zenu, Clean water n.k. Ukienda Sumbawanga wewe hutarudi kwenu, nani anataka kuishi jalalani kama kibera
 
True. Some Kenyans huwa na dharau, which is bad but its a two way traffic, mTZ ataitrash talk Kenya na mkenya atakuja hapa aanze kuwatusi waTZ na vice versa, na mpia mkenya ataitusi TZ then mkenya anaona the best thing ni kurudisha matusi back. But wakati mwingine mimi hushangaa, instead ya waafrica kucelebrate achievement za another africans wanatusiana
Mkuu unaonekana we ni mtu mwelewa sana hongera.
 
Back
Top Bottom