Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Msemaji wa serikali
D5_c5KRW0AEuSIC.jpeg
 
Sasa lets talk about Tanzania, has almost a non existent middle class, almost half wanaishi below poverty line,
Hao waTZ wanaishi posh estates pale Dar?
When you start talking about poverty and slums kumbuka, Tanzania si Belgium bruh.
Sasa mbona hujamaliza kupiga hesabu?, tumalizane kwanza na 60% ya 4M, ni ngapi?
 
Sasa lets talk about Tanzania, has almost a non existent middle class, almost half wanaishi below poverty line,
Hao waTZ wanaishi posh estates pale Dar?
When you start talking about poverty and slums kumbuka, Tanzania si Belgium bruh.
Hakuna kitu inaitwa slum tanzania utake usitake😆😆😆😆👇👇👇👇

Skia wanafosi tu simamee usihangaike nao, we ona hata stesheni yao wanaingilia chini eti wanaenda juu, halafu wanapandia train chini mpaka unajiuliza taabu yote ya nn km si kujionesha ukisasa, wakati ya kwetu unaingilia chini unajua kabisa train naenda kupandia juu ghorofani, yaani usipate nao shidaaah, JPM sio wa quality ndogo ki hivyoo, napia hatuwezi kujaribia vifaa vyetu wanatumia vyao ili kujihakikishiaa
I mean, don't judge a book by it's cover. Hii ni ya siemens ila kama Yapi Merkezi wako well equipped then why not the orange one?
View attachment 1091141
 
Skia wanafosi tu simamee usihangaike nao, we ona hata stesheni yao wanaingilia chini eti wanaenda juu, halafu wanapandia train chini mpaka unajiuliza taabu yote ya nn km si kujionesha ukisasa, wakati ya kwetu unaingilia chini unajua kabisa train naenda kupandia juu ghorofani, yaani usipate nao shidaaah, JPM sio wa quality ndogo ki hivyoo, napia hatuwezi kujaribia vifaa vyetu wanatumia vyao ili kujihakikishiaa
True kabisa, hii station itakuwa homa, SGR juu, treni za kawaida chini
Screenshot_20180919-070849.png
 
Population ya Nairobi ni 4M, kati ya hao 60% wanaishi katika slums, ukifanya hesabu unapata ngapi " Slum dwellers"?
Kitu kinacho nishangaza kwanini wakenya wanatetea upumbaavu wa serikali yao wakati wana ishi kwenye slum hapa jf ??? Kwanini wasingekuwa wanaiponda Kwa nguvu zao zote hapa jf ili kuisaidia nchi yao wenyewe !!!!???? Ila nilicho gundua kuhusu wakenya wamevunjika mioyo na nchi yao hivyo wamejumuika pamoja kuionea uchungu na wivu Tanzania
 
Achana na kitu" Ukabila", utafanya chochote kile ili kulinda mtu wa kabila lako
(R.I.P Julius Nyerere)
 
Mhandisi Uchwara umerudi? Hatuna mda wa kumuelewesha mjinga asietaka kuelewa. Tukuache ujifariji n then utajpata somo tutakapoanza safari rasmi hap november
Hey stalker,why quote me na sijakuuliza? Mjinga ni wewe mnaibiwa na jiwe mchana peupe afu kazi yenu nukushangilia Tu.
 
Back
Top Bottom