Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839







nimecheka mpaka machozi aiseeeee,,,,wakenya wanavisa kweli kweli na kesho nirawaalika ikulu niwape tano tena bila sha kweli kweli...

STUPID KENYAN TOO MUCH







nimecheka mpaka machozi aiseeeee,,,,
STUPID KENYAN TOO MUCHUmeposti picha za niliko,of coz sio hizo tu ziko nyingi mpya na zinaendelea kujengwa zingine by 2020 swax kutanogaPicha moja inaridiwa mara tano sehemu ile ile😆😆😆😆😆
Sumbawanga👇👇👇👇👇
View attachment 1091110View attachment 1091111View attachment 1091112
Hapa sawa zile Airbus ni ndege safi sana Yaani hapa naunga mkono
Nitumie hii hotuba pdf broRing road expansion plan 2018/19View attachment 1092818
Akili ikae kichwani sio makalioni😆😆😆😆😆👇👇👇👇👇Umeposti picha za niliko,of coz sio hizo tu ziko nyingi mpya na zinaendelea kujengwa zingine by 2020 swax kutanoga
Hiyo photo ina justify kauli yangu ya siku zote kwa nini miji mingi ya bongo haikupimwa viwanja ipendeze? Imagine hizo ni ordinary residential za kawaida but kwa kua zimejengwa kwe plots unaweza ona zinavyopendeza na hapo ndipo wakenya wamepiga bao miji yao imepangika vizuri
Swax hiyo ilipimwa miaka ya 70 lakini saizi kinachoendelea ni ujenzi holela kama kawaida ya Watz
Hapa sawa zile Airbus ni ndege safi sana Yaani hapa naunga mkono
Watanunua budget ijayo!Air Tanzania plans
Kuongeza Airbus A220-300 nyningne mbili na q400 moja...na shangaa kwann hawanunui cargo planeView attachment 1092841
Bona huko chini ya hizi nyumba in slums
B500 kila mwaka kwa ajili ya ndege Noma,Aongeze na watumishi pesa maisha yamekua ghaliHuyu jamaa mpaka anatoka madarakani nafkiri atafkisha ndege zaidi ya 20
It's mbona not bona! Idiot huongei Kikuyu hapa!Bona huko chini ya hizi nyumba in slums
Dsm hakuna slums hizo nimezijulia Nairobi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣🤣🤣Bona huko chini ya hizi nyumba in slums
hapa ndio utajua waafrika hatupendani maana hali hiyo halafu wabunge wa kenya walikua wanadai waongezewe mishahara. mda mwingine unaweza diliki kusema bora wakoloni kuliko hawa viongozi waafrika wenzetu. it's big shame for Kenyan government. hizi zinaendeshwa kifalme viongozi wanatokea kwenye clan wenye nasaba na viongozi ni tatizo sana . even if I'm Kenyan citizen lakini aibu ni yetu wote as a East Africa communityFailed state
Washenzi tu hawana maanahapa ndio utajua waafrika hatupendani maana hali hiyo halafu wabunge wa kenya walikua wanadai waongezewe mishahara. mda mwingine unaweza diliki kusema bora wakoloni kuliko hawa viongozi waafrika wenzetu. it's big shame for Kenyan government. hizi zinaendeshwa kifalme viongozi wanatokea kwenye clan wenye nasaba na viongozi ni tatizo sana . even if I'm Kenyan citizen lakini aibu ni yetu wote as a East Africa community
kujikweza ndio tabia yao tuwazoe tuWashenzi tu hawana maana