Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bagamoyo road Expansion

IMG_9675.JPG

IMG_9676.JPG

IMG_9677.JPG

IMG_9678.JPG
 
hapa ndio utajua waafrika hatupendani maana hali hiyo halafu wabunge wa kenya walikua wanadai waongezewe mishahara. mda mwingine unaweza diliki kusema bora wakoloni kuliko hawa viongozi waafrika wenzetu. it's big shame for Kenyan government. hizi zinaendeshwa kifalme viongozi wanatokea kwenye clan wenye nasaba na viongozi ni tatizo sana . even if I'm Kenyan citizen lakini aibu ni yetu wote as a East Africa community
Hapana, hii aibu sio ya East Africa nzima, hii ni aibu ya Kenya pekee, mbona Victor Wanyama, , Lupita Nyong' na wakimbiaji wa Kenya wakifanya vizuri hamsemi wanatoka East Africa?. Kila nchi ipambane na hali yake, hiyo ni aibu yenu pambaneni nayo.
 
💉 💉 💉 👌👌
 
Back
Top Bottom