Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi Kenya at night
IMG_20181213_194836.jpg
 
Ni bullet za maana kuna jamaa mmoja kanieleza anasema ni bullet za adabu yani ni za kipekee africa amenambia zitakua na uwezo wa ku record ubovu wa reli kokote na system zake ni hatari
Hyu jamaa ni nani..au ni jiwe
 
They don't know how to hold a camera.
This is Kibera area Nairobi Kenya
View attachment 967380
Adjacent is Langata.
View attachment 967381
mzungu ndiye alivumbia camera so kuja na madai dhaifu ati hawajui kushika camera ni ujinga.

kwa kibera na maeneo yote ya nairobi, kuna utofauti mkubwa wa kupga picha kati ya wakenya na wazungu wanaofanya kazi kwenye charity organisations hapo nairobi.

za wakenya zipo very selective,mnachangua sana angle za kupiga picha, mnaficha baadhi ya majengo na mitaa duni. halafu mnaweka filters sana ili kuziongezea mvuto

but wazungu hawajali cos they have nothing to fear about or lose. hawachagui angle ya kupiga picha, that's why picha zao zipo original na zipo wazi kama vazi la mwanamke kahaba

Screenshot_2018-12-13-21-21-05-101_com.instagram.android.jpeg
 
Back
Top Bottom