Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wee! Koma. Huo msemo wa nyani haoni kundule unarepresent Kenya. Nani alie anza kudig kuhusu mwenzake? Ukiacha huu uzi nenda kwenye mitandao search uone nani anamchafua mwenzie. Now ni kwamba tu uvumilivu umetushinda kuhusu fitina zenu na wala hatujawaandika kwenye mitandao mingine its just JF na mnalalamika. Je tungeanza youtube, quora na mitandao mingine kama mnavyotufanyia si mgelia machozi ya damu? Hii mbinu ya kujipatia umaarufu kupitia mwenzio ilishapitwa na wakati na kama wahenga walivyosema hakuna lisilokua na mwisho mtaumbuka vibaya.
Hadi wataalamu wenu wanathubutu kusema mvua yenu imeshikiliwa Tanzania! mmezidi kwakweli
halafu hawatujui vizuri hawa manyang'au hawajui kama TZ kwa fitina ni noma tukisema tuwaamulie watajuta,sema washukuru tunawapotezea tu,,,maana hawana faida kwetu wapo zero
 
Ukisoma vizuri hii article utaona kwamba hiyo Kshs 206,000 sio basic salary, hiyo ni pamoja na allowances ambazo zinatofautiana sana, kwa mfano "call allowances", inatofautiana toka mwezi hadi mwezi na inategemeana na idadi ya doctors waliopo katika hospitali husika.

Kama unataka kulinganisha, ni lazima utumie basic salary ambayo ni constant kwa doctors wa nchi nzima, kumbuka doctors waliopo Wajir na Turkana hulipwa hardship allowances wakati wa Nairobi hawalipwi.

Kuhusu kulipa mishahara mikubwa, unapaswa ulipe kwa wote ili kusiwepo na gap kubwa kati ya mishahara ya watumishi, vinginevyo migomo haitokwisha na " inflation " itakuwa ikipanda sana. Kwa Kenya kutoa mishahara mikubwa inasababisha kupunguza uwezo wa serikali kufanya mambo mengine ya maendeleo kwa sababu 50% ya revenue inatumika kulipa wages, GoK inabaki na pesa kidogo kushughulika na miradi ya maendeleo.
na ndiyo maana hawana pesa zao binafsi za miradi mwisho wa siku wanaishia kukopa kopa hovyo
 
zile ring roads zinazotarajiwa kujengwa Dodoma ili zilete maana inafaa zijengwe like hii Nai road au iache space ya kutosha katikati kama sam Nujoma road
Eden is still alive in Nairobi
Road reserve ni 150 metres
 
Kumbe Struggler Gorge pia ni ya mkopo?

Opposition propaganda. Ninafahamu kuwa serikali inatumia fedha za ndani na hata kama ni mikopo, huwa tunachukua mikopo yenye bei nafuu kwa hiyo usiwahi kujiinganisha na sisi ikija kwenye kukopa.
 
zile ring roads zinazotarajiwa kujengwa Dodoma ili zilete maana inafaa zijengwe like hii Nai road au iache space ya kutosha katikati kama sam Nujoma road
Eden is still alive in Nairobi
Bara bara kujengwa na kuacha nafasi katikati ndiyo zetu, ndiyo maana BRT zinajengwa bila tabu, siyo Sam Nujoma tu, nenda Mbagala, Tegeta kote kuna nafasi kati kati imeachwa kwa makusudi. Kujenga bila mipango ya baadae hilo tatizo lipo Nairobi ndiyo maana BRT imekuwa kitendawili kisicho kuwa na jibu. Kwa hizo ring roads zinazojengwa Dom hazina cha kujifunza kutoka Nairobi.
 
Subpost 2 - Tunakutakia siku njema unapoelekea maeneo mbalimbali ya jiji la Dar .jpg
Subpost 3 - Tunakutakia siku njema unapoelekea maeneo mbalimbali ya jiji la Dar .jpg
Subpost 1 - Tunakutakia siku njema unapoelekea maeneo mbalimbali ya jiji la Dar .jpg
 
NAIROBI UPCOMING APARTMENTS,,
THIS IS JUST A SINGLE PROJECT MORE ONGOING ALL OVER THE CITY
1089561

Dubbed The River Estate, the project located on Jodongo road next to Ngara Girls High School will comprise eight apartment blocks each 34 floors high, with 340 homes per block.
“This iconic project is bound to change the Nairobi skyline as it will be the first project of its magnitude in East and Central Africa; that will give its residence access to the beautiful panoramic views of Nairobi,”
 
Bara bara kujengwa na kuacha nafasi katikati ndiyo zetu, ndiyo maana BRT zinajengwa bila tabu, siyo Sam Nujoma tu, nenda Mbagala, Tegeta kote kuna nafasi kati kati imeachwa kwa makusudi. Kujenga bila mipango ya baadae hilo tatizo lipo Nairobi ndiyo maana BRT imekuwa kitendawili kisicho kuwa na jibu. Kwa hizo ring roads zinazojengwa Dom hazina cha kujifunza kutoka Nairobi.
Wewe hiyo road ya sam Nujoma sio tu imeacha reserve katikati lakini ndo road pekee nzuri na imejengwa vzur bongo nzima ukiacha approach za daraja la Nyerere kigamboni kwingine huko ni rubbish tu,ko mm nashauri tu
 
NAIROBI UPCOMING APARTMENTS,,
THIS IS A JUST A SINGLE PROJECT MORE ONGOING ALL OVER THE CITY
View attachment 1089561
Dubbed The River Estate, the project located on Jodongo road next to Ngara Girls High School will comprise eight apartment blocks each 34 floors high, with 340 homes per block.
“This iconic project is bound to change the Nairobi skyline as it will be the first project of its magnitude in East and Central Africa; that will give its residence access to the beautiful panoramic views of Nairobi,”
By chinese!!
 
Back
Top Bottom