Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zita? hasa iyo middle income siuongo kama shule kama izo bado ziko?nyie bado masikini hamjafikia mahali pakusema mmesogea...boresheni shule,vituo vya afya huduma za maji na umeme ndio urudi hapa
😆😆😆😆😆 tena wakutupa huwez kua MLDC alaf ukawa huna uwezo wakulisha chakula wananchi wako
 
LDC inajenga reli ya umeme bullet train kwa pesa zako na MLDC inakopa kujenga reli ambayo ni ya mwaka 50 iliopita😆😆😆😆
Serikali ya Kenya iko na other priorities. Tajiri atakopa ku expand business and stuff lakini maskini atatumia alicho nacho kulipa school fees, chakula etc. Niko sure wananchi wa kawaida wamebanwa mahali
Ona hii chat, yani poverty is evenly spread in Tanzania. Ata Uganda iko na higher % wako middle class. Nyinyi na ujamaa mnashare mashida.
Jengeni bullet train, but wafanyikazi wanalipwa peanuts.
20151024_MAC237.png
 
Nataka kujua middle income per capita inatakiwa ianzie ngap
Ata sijui mahne. But hope mtoke LDC. Watz wengi wana wivu na Kenya sana. Utadhani Tanzania ni paradise, yaani hamna mashida na ni developed. Nyani haoni kundule, kudig into Kenyan matters ndio waskie vizuri about their sad sad country
 
Oh you get this information from blog posts sijui news articles, basi I didn't know how stupid you are
Call me stupid or whatever you like but ata some shitty blogs kama hizo huwezi pata Kenya. But huwezi miss Ethiopia ama Tanzania Why? Si rocket science, Tanzania ni one of the pooerst, na advice ndio mtoke LDC kwanza accept situation yenu. Then mkuje mlie hapa vile Kenya kuna shida
 
The fact that you are comparing countries based on GDP makes you stupid as f, there are many discrepancies that you would be surprised. You say we are poor, but guess who has the highest unemployment rate, the highest public debt, hunger, you are a disgrace to all "middle income countries" as you call yourself. With our "poverty" we manage to finance multi billion dollar projects like the electric sgr and steigler's gorge dam project. If I were to be mistakenly called poor but with all these advantages i'd say yassssss! than being in a failed state, living below poverty line like the rest 46% of the population. Your idiotic president went to China last week to ask for another loan for completing the screwed sgr project and thanks to those Chinese lenders, they denied your request. Trust me, it's for your own good, don't take more loans or the whole country will be taken by China
 
Tangu balaa la ukame na njaa vimeikumba kenya,bongolalas wamepata kichaka cha kujifariji na ufukara wa ki ldc,,kupata njaa kenya hakukusaidii kutoka ldc mjue
 
Call me stupid or whatever you like but ata some shitty blogs kama hizo huwezi pata Kenya. But huwezi miss Ethiopia ama Tanzania Why? Si rocket science, Tanzania ni one of the pooerst, na advice ndio mtoke LDC kwanza accept situation yenu. Then mkuje mlie hapa vile Kenya kuna shida
Tutoke LDC wapi? I don't trust any data I see, it's just what I am. Did you go to university? because all assignments there require citations. You bring screenshots here of news articles that are sometimes biased. If you want to stay with the so called "middle income" title, be my guest, but remember, we are not sharing equal amounts of suffering with you goons. Each and every time we show you that we are giving you a run for your money, you bring "GDP" Please, be educated for once, China has a larger GDP than Cananda but obviously Canadians have better lives. Keep up the good work but you ain't gonna fool no body, especially me
 
The fact that you are comparing countries based on GDP makes you stupid as f, there are many discrepancies that you would be surprised. You say we are poor, but guess who has the highest unemployment rate, the highest public debt, hunger, you are a disgrace to all "middle income countries" as you call yourself. With our "poverty" we manage to finance multi billion dollar projects like the electric sgr and steigler's gorge dam project. If I were to be mistakenly called poor but with all these advantages i'd say yassssss! than being in a failed state, living below poverty line like the rest 46% of the population.
Si mistakenly. Na unemployment rate haimaanishi poverty. Mko na lower unemployment rate than Spain na South Africa, are you richer? Employment is one of the ways ya kupata pesa, kuna many ways. Pia employment si kumaanisha stable income kaka, unaweza kuwa paid pocket change. Na I did mishahara comparison TZ na Ke, did ya walimu na doctors more to come. Kenya pays better. Kenya si perfect, na Turkana was a sad story, I am sure watafix the problem. Haya, poverty 46% Kenya? No No No No. iko 36% percent mate, ya Tanzania inaelekea 50%, half ya your population. Wacha nikupe link, ama utalia cooked data??
Notice how Tanzania has a darker shade ya red?? that means poorer
tz1.PNG
 
View attachment 1088795
Kenya pays better? Holy cow!!!! I do remeber all the strikes happening up there. From doctors, to teachers mpaka a few years ago, Kenya wanted to bring in Tanzanian doctors and we were more than ready to send them. Data from 2017 huh? Unajua time span GDP inakuwa measured?
 
Ata sijui mahne. But hope mtoke LDC. Watz wengi wana wivu na Kenya sana. Utadhani Tanzania ni paradise, yaani hamna mashida na ni developed. Nyani haoni kundule, kudig into Kenyan matters ndio waskie vizuri about their sad sad country
Wee! Koma. Huo msemo wa nyani haoni kundule unarepresent Kenya. Nani alie anza kudig kuhusu mwenzake? Ukiacha huu uzi nenda kwenye mitandao search uone nani anamchafua mwenzie. Now ni kwamba tu uvumilivu umetushinda kuhusu fitina zenu na wala hatujawaandika kwenye mitandao mingine its just JF na mnalalamika. Je tungeanza youtube, quora na mitandao mingine kama mnavyotufanyia si mgelia machozi ya damu? Hii mbinu ya kujipatia umaarufu kupitia mwenzio ilishapitwa na wakati na kama wahenga walivyosema hakuna lisilokua na mwisho mtaumbuka vibaya.
Hadi wataalamu wenu wanathubutu kusema mvua yenu imeshikiliwa Tanzania! mmezidi kwakweli
 
Tutoke LDC wapi? I don't trust any data I see, it's just what I am. Did you go to university? because all assignments there require citations. You bring screenshots here of news articles that are sometimes biased. If you want to stay with the so called "middle income" title, be my guest, but remember, we are not sharing equal amounts of suffering with you goons. Each and every time we show you that we are giving you a run for your money, you bring "GDP" Please, be educated for once, China has a larger GDP than Cananda but obviously Canadians have better lives. Keep up the good work but you ain't gonna fool no body, especially me

Really utacompare Kenya/Tz situation to Canada/China???
Since uko very intelligent unafaa ujuepopulation ya china ni 1.4 billion na Canada has a population of 37 million. So ni understandable China iwe na higher gdp, however Kenya has almost 10 million less people than Tanzania but Kenyas GDP ni almost double. Na hizo articles ni some well done research , ziko biased aje? everyone hates Tz and loves Kenya? Unajua miminatumia metrics na wewe unatumia feelings, uko na feeling Tanzania is better than Kenya which I understand since unapenda your very developed country
 
Wee! Koma. Huo msemo wa nyani haoni kundule unarepresent Kenya. Nani alie anza kudig kuhusu mwenzake? Ukiacha huu uzi nenda kwenye mitandao search uone nani anamchafua mwenzie. Now ni kwamba tu uvumilivu umetushinda kuhusu fitina zenu na wala hatujawaandika kwenye mitandao mingine its just JF na mnalalamika. Je tungeanza youtube, quora na mitandao mingine kama mnavyotufanyia si mgelia machozi ya damu? Hii mbinu ya kujipatia umaarufu kupitia mwenzio ilishapitwa na wakati na kama wahenga walivyosema hakuna lisilokua na mwisho mtaumbuka vibaya.
Hadi wataalamu wenu wanathubutu kusema mvua yenu imeshikiliwa Tanzania! mmezidi kwakweli
Ilikuwa more of a meteorological isht hawakumaanisha Magufuli amashikilia mvua kaka. Sasa uki interprate kila kitu kama layman???
 
Kenya pays better? Holy cow!!!! I do remeber all the strikes happening up there. From doctors, to teachers mpaka a few years ago, Kenya wanted to bring in Tanzanian doctors and we were more than ready to send them. Data from 2017 huh? Unajua time span GDP inakuwa measured?
Yeah they strike ndio waongezwe mishahara na other services. Wanagoma coz wako na freedom, na ni their right. Tz wanalipwa peanuts lakini since mna ujamaa mmetosheka, hamuwezi strike. Mko brainwashed thats why your middle class iko no existant na bado utaskia wakenya wakigoma, wanataka more
Since I am an armchair analyst nilifanya some analysis,
Btw highest paid Tanzanian doctor analipwaalmost half ya what an intern in Kenya earns. https://www.jamiiforums.com/threads...a-madaktari-ke-vs-madaktari-tanzania.1578890/
then nkafanya ya waalimu https://www.jamiiforums.com/threads/tofauti-ya-mishahara-ya-walimu-tanzania-na-kenya.1578682/
Na ntafanya ya other civil servants
 
Back
Top Bottom