Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The collective bargaining agreement (CBA) signed with the Council of Governors (CoG) will see the lowest-paid doctor (intern) earn Sh206,989, including allowances.
All governors in Kenya. CoG. Thats the lowest a doc in Kenya. Nairobi ama Turkana. So hizo harship zitaadd kwa hio constant lowest. Wacha perepere mingi
Sio kweli, hayo Maneno unasema kwasababu haupo katika sector ya afya, ungejua kwamba hizo allowances zinatofautiana sana, ndio sababu hawajazitaja, hata huku Tanzania ni hivyo hivyo, wewe unachopaswa kulinganisha ni basic salary tu.
 
huelewi lowest paid, inamaanisha you they cant earn any lower. Ama huelewi kimombo?
 
Naah that dude alijoin thread akaanza kupost matope about Kenya in a non TZ related thread. Na he does not post facts, he just trasg talks kenya.
I understand that you are not like most Kenyans but on this you either pretend not to know or you overlook how some of your people act. I my self have seen this trend many times on youtube, someone post s a good video about Tanzania (nothing to with Kenya) and Kenyan's will come out of the woodwork to bad mouth us, it doesn't make sense.
 
huelewi lowest paid, inamaanisha you they cant earn any lower. Ama huelewi kimombo?
Kwanini hutaki kutaja basic salary umeshikilia lowest pay?. Lowest pay if all doctors will be on duty as per average working days per week, lakini vitu havipo kama vinavyopangwa, kwa mfano house allowance is included katika hizo allowances, ila kwa ukweli huwa interns wanapewa accommodation badala ya pesa.
 
Nairobi
1089083

1089084
 
Hawapewi accommodation, wanalipwa. I know you are not the sharpest tool in the shed so, believe in what makes you happy mate. But wewe jua 206K ndio lowest inaingikwa kwa account.
 
I understand that you are not like most Kenyans but on this you either pretend not to know or you overlook how some of your people act. I my self have seen this trend many times on youtube, someone post s a good video about Tanzania (nothing to with Kenya) but Kenyan's will come out of the woodwork to bad mouth us, it doesn't make sense.
I know and it's a bad thing but pia waTZ wako na hio tabia. If Kenyans act like assholes I overlook it same way I assume huwezi kosoa mTZ mwenzako. But mtu akianza kuitusi Kenya I being patrotic get really defensive. Same na wewe mtu akiatttack TZ
 
I don't think we're on the same page here, I wasn't referring to those tit for tat conversations, I was specifically mentioning those talks which have nothing to do Kenya where a Kenyan will show up and starts trolling. No body goes out of their way to bad mouth others but kenyans, we see that in Nairaland where kenyans started to shit on Nigerians on their platform for no reasons. You'll never see a Nigerian, Ghanian or South Africans go out on their way to Kenyantalk and start shitting on you, it's only after they get provoked, you see them retaliating.
 
I don't think we're on the same page here, I wasn't referring to those tit for tat conversations, I was specifically mentioning those talks which have nothing to do Kenya. No body goes out of their way to bad mouth others but kenyans, we see that in Nairaland where kenyans started to shit on Nigerians on their platform for no reasons. You'll never see a Nigerian, Ghanian or South Africans go out on their way to Kenyantalk and start shitting on you, it's only after they get provoked, you see them retaliating.
Actually that thread on Nairaland was started by a Nigerian then war started. Kenyans na Nigerians have a thing, the fight on social media a lot, sanasana twitter. Ghanaians na Nigerians pia hawapendani. Ghanaians visit Nairaland kurusha matusi. Lakini waTz pia ni the same, hii forum ni testimony to that. Annael na Gezaulole na MkikuyuAkili timamu,
 
Ndii upo wapi uliyosema tayari yanatimia na watoto wameanza kusulubiwa na hii SgR
mambo ni fireee.........sasa deni linawakamua wanapenda kuwa na miundombinu mizuri yenye ukitonga wakati pesa hawana,,hii ndiyo raha ya kujivunia kuwa mkenya
 
Back
Top Bottom