Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe hiyo road ya sam Nujoma sio tu imeacha reserve katikati lakini ndo road pekee nzuri na imejengwa vzur bongo nzima ukiacha approach za daraja la Nyerere kigamboni kwingine huko ni rubbish tu,ko mm nashauri tu
Huo ni mtazamo wako tu, mimi barabara zinazopita mtaani kwangu ndiyo naona nzuri zaidi zinakiwango halafu wameweka na taa na sehemu za watembea kwa miguu. Vizuri ukatoa ushauri bora, sasa wewe unashauri Dodoma wajenga kama Thika rd! Yani wachore "BRT only" kwa kutumia rangi wakati Dar hiyo BRT imesha jengwa na mbinu zote tunazijua. Kwenye ishu ya mass transport hapa E.A Tz ndiyo case study, Nairobi barabara hazina ata bus stops achilia mbali intra region bus stops. Wewe baki na ushauri wako au upeleke Somalia
 
NAIROBI UPCOMING APARTMENTS,,
THIS IS A JUST A SINGLE PROJECT MORE ONGOING ALL OVER THE CITY
View attachment 1089561
Dubbed The River Estate, the project located on Jodongo road next to Ngara Girls High School will comprise eight apartment blocks each 34 floors high, with 340 homes per block.
“This iconic project is bound to change the Nairobi skyline as it will be the first project of its magnitude in East and Central Africa; that will give its residence access to the beautiful panoramic views of Nairobi,”
Kumbe render😆😆😆😆
 
Kumbe render😆😆😆😆
Ground breaking has already taken place, they are now excavating the site for construction
1089639

1089651


Governor Sonko has launched the project
1089652


 
Kuja utuoneshe wapi GDP ilipo

This is malicious,I have been to budalangi on several occasions and I have never seen a school like this one . Budalangi is the only constituency in the former western province that there is competition for life style I don't think if they can allow this to be in their boundary.
 
Alikua nayo jamaa mmoja anaitwa edward wanjala alikua analeta picha za nchi zingine anakwambia nairobi😆😆😆😆
Umenikumbusha huyo jamaa Alikuwa Mpuuzi kweli Anaokota picha akizani sie wajinga
tulipo anza muumbua Akapotea
 
Ninyi wa posho mbaya na kitu kikubwa ,mmesaidia maskini vipi ? Au kuwasaidia kwenu ni kuwasukuma huku wawe ombaomba?.
Ombaomba ni wenu sema munakwepa aibu kwa marekani kuonekana ni MLDC alaf hohe hahe😆😆😆😆😆

Chukua dawa ukapumzike👇👇👇👇

 
Back
Top Bottom