Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pwahahaha. Acha kutudanganya

View attachment 1089704


Nilivyoiona hiyo picha I knew something was fishy! nikaona tu nimkaushie, hawa watu siku zote ni cons
 
😢

20190506_201753png.png
 
Wewe hiyo road ya sam Nujoma sio tu imeacha reserve katikati lakini ndo road pekee nzuri na imejengwa vzur bongo nzima ukiacha approach za daraja la Nyerere kigamboni kwingine huko ni rubbish tu,ko mm nashauri tu
Aisee, halafu unajidai dar unapajua
 
Pwahahaha. Acha kutudanganya

View attachment 1089704


Dah, jamaa nilimpa mpaka na "like" kwa ku appreciate uzuri wa hiyo barabara, kiroho safi kabisa, kumbe jamaa katuingiza kingi.
 
😂😂😂😂 Is this entended to me or something? So far good for you

Enjoy the new experience on your new Windows.
Alivyo mwehu cheki hata hiyo search box kashindwa kuihide, imemjazia nafasi kama laptop ya kibibi vile
 
Back
Top Bottom