Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwel jicho boy huna kazi...yani uko huku na kujichekesha kila kucha...lkn tatizo emojis zako haziwezi iwezesha tanzania kui overtake kenya...2025 inafika na bado gap inaongezeka tu...

alafu we ni muafrika kweli..manake hzi tabia wanazo wahindi waliokimbia makwao...ndio hujifanya wazalendo kisa maslahi yake yabaki pale pale...wachezea kupokonywa uraia wewe
 
Acha hasira plz 😆😆😆😆 ugua taratibu
 
3.4b ksh huo ndio ukuta😆😆😆😆👇👇👇

Nigeria nayo imeovertake S.A. lakini angalia per capital na maendeleo ya hizo nchi mbili ni tofaut kubwa sana...issue sio kuwapita Kenya, pale ambapo huduma zote muhimu zitapatikana kila eneo kwa ubora unaohitajika,miundombinu safi iwepo ,hakuna rushwa,vijana wapate ajira rasmi hapo ndipo mtakapojua hamjui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunachanja mbuga
IMG_20190405_133659.jpeg
200DDA99-441F-4FC9-B5D5-C45649CB47B8.jpeg
 
kwel jicho boy huna kazi...yani uko huku na kujichekesha kila kucha...lkn tatizo emojis zako haziwezi iwezesha tanzania kui overtake kenya...2025 inafika na bado gap inaongezeka tu...

alafu we ni muafrika kweli..manake hzi tabia wanazo wahindi waliokimbia makwao...ndio hujifanya wazalendo kisa maslahi yake yabaki pale pale...wachezea kupokonywa uraia wewe
Tanzania ina natural gas yenye thamani za zaidi ya USD trillion 1.5 confirmed, ambapo saivi ndio serikali ipo kwenye mazungumzo ya NLG plant worthy more than 30 USD billions kwa hiyo kama ni Kenya nyie tulishawapita tokea siku nyingi sana hata tusipoichimba hii natural gas.
 
Sio mm soma article hio na ethiopia washafanya investment za kufa mtu djibout so endelea kujipa matumaini😆😆😆😆😆👇👇👇👇 hio ndio itakua the biggest white elephant in the world
View attachment 1061023
Wewe unadhani project kiasi hiki ilifanyika bila kuzingatia haya….Unachofaa kujua ni kuwa Eritrea will be serving the North of Addis Ababa while the Lamu port will be serving the Southern part of Addis Ababa which has a population of 50 million. So we na kichwa chako maji unapost tu ndo ujifurahishe na huelewi the economics behind it.
 
siku hizi imekuwa ni jambo la kawaida sana kukutana na ujumbe wa kukatika kwa umeme kila unapotembelea kurasa rasmi za kenya power. nini shida wakenya?.

nataka mjue huku tz kwa sasa ni nadra sana kukatika umeme. in short we are on the right track concerning power supply.

poleni sana watu wa uchumi wa kati.huu ujumbe wa leo wa kenya power unaonyesha almost a half of kenya is having a problem of power interruption.
IMG_20190407_193749.jpeg
IMG_20190407_193808.jpeg
IMG_20190407_193842.jpeg
IMG_20190407_193902.jpeg
IMG_20190407_194014.jpeg
 
Back
Top Bottom