Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

2059 mkuu
Endelea kuota andaeni deni lingine la mchina lamu port ksh 2.5trillion 👇👇👇👇👇
Big white elephant in the world
Ethiopia kashajitoa😂😂😂😂
4B78E6C5-D187-4ABF-87A5-41C6BFDF7A8E.jpeg
 
Uchumi wa Ethiopia haiwezekan tegemea djibout pekee,Lamu iko palepale,Mumefikia wapi na bagamoyo pot? maana port imewashinda
Sio mm soma article hio na ethiopia washafanya investment za kufa mtu djibout so endelea kujipa matumaini😆😆😆😆😆👇👇👇👇 hio ndio itakua the biggest white elephant in the world
31BA8D09-CE8C-458E-893B-638D110A4EC3.jpeg
 
Kadaraja ka tazara kamewamwaga makamasi ndo mtajenga hiyo project? Mtaishia kuona kwenye nchi za wenzenu na kwenye video tuu
Ulichoandika hapo juu kinaonyesha una chuki na hii nchi. Utajipa magonjwa yasiyoambukiza bure.
Hate ya Nini mzee? Hiyo project utaishia kuiona kwenye video,hamna huo uwezo labda 2059
 
So now how do you feel knowing your country will never overtake Kenya,
Sio will never, ishaanza kua overtaken tayari hatuzungumzi habari ya mamabo yajao tunazungumza sasa hvi😂😂😂😂😂 jiji zima lina fire station mbili 😆😆😆😆 uhuru kaiacha nchi inapumulia makalio
 
Back
Top Bottom