Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Loss + new loan = collapse๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ taking loan to john to pay japhet... wapi GDP iko kwa karatasi za wakikuyu

Burudika na mapovu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Yaani hata nchi yenyewe imeshindwa kulikopesha shirika lao!!! Huku sisi tukinunua ndege na kulipa shirika pesa za kuliinua, wenzetu hawawezi kuraise kiasi kidogo namna hiyo kulisaidia shirika!!!!!
 
Pesa ya kuipa shirika hawana kwasababu wana madeni mpaka matakoni bado ile big white elephant lamu port 2.5 trillion ksh za mchina maana ethiopia ashajitoa na kawekeza djebout tena heavy investments, GDP iko kwenye karatasi inapikwa usiku na mchana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kila sector inaguswa....... Now vocational education

20190406_092650png.png
 
Sure, kuna kitu watu hawajagundua kuhusu GDP, sometimes it is as a result of old estimates. The way nafeel ni kuwa GDP yetu ni kubwa kuliko wanavyotuandikia coz inaweza kuwa ilitokana na estimates za kipindi kigumu tulichokua tunapitia na usocialist tuliokua nao against usa. Haiwezekani kwa namna tunavyojiweza namna hii eti mtu hawezi hata kujifund an then tunaambiwa ana GDP kubwa kuliko sisi. Haya yote yanaamuliwa na nchi moja kulingana na namna unavyowalamba miguu, thats why leo hii sarafu ya South Africa ni kubwa kuliko sarafu ya Russia :D:D:D:D
 
Kila sector inaguswa....... Now vocational education

View attachment 1063834

Mwenyezi Mungu Mbariki na Kumlinda Raisi wetu Dr. John Pombe Magufuli.

Yaani huyu jamaa anatengeneza maendeleo kwa mfumo wa kusimamisha Pyramid, which is so Strong (Afya, Elimu, Infrastructures and business). Mwenyezi Mungu aendelee kutupa chakula cha kutosha ili hiyo pyramid isimame kwa uimara wa hali ya juu
 
Sure, kuna kitu watu hawajagundua kuhusu GDP, sometimes it is as a result of old estimates. The way nafeel ni kuwa GDP yetu ni kubwa kuliko wanavyotuandikia coz inaweza kuwa ilitokana na estimates za kipindi kigumu tulichokua tunapitia na usocialist tuliokua nao against usa. Haiwezekani kwa namna tunavyojiweza namna hii eti mtu hawezi hata kujifund an then tunaambiwa ana GDP kubwa kuliko sisi. Haya yote yanaamuliwa na nchi moja kulingana na namna unavyowalamba miguu, thats why leo hii sarafu ya South Africa ni kubwa kuliko sarafu ya Russia :D:D:D:D
Nimebishana na hawa jamaa hapa mpaka nimechoka, nimewaonesha maisha yalivyo Tanzania na jinsi pesa ilivyo na nguvu ya kununua matumizi hapa Tanzania, nimeongelea kusuhu ubovu wa vipimo vya GDP na kuonya kuitumika kama standard ya maendeleo, lakini watu hawaelewi.

Sasa wakija wakiona tunalipia SGR, tunajenga mahospitali, tunanunua ndege, tunajenga barababa, viwanja vya ndege,bwawa kubwa la umeme, bandari n.k, kwa pesa zetu kwa mpigo wanabaki midomi wazi.

Sasa wao waendelee kusema wao ni middle income, sisi tuijenge nchi yetu. Wakishtuka 2025 tuna ndege 50 kwa pesa yetu ndo watatia akili.
 
Sure, acha gdp iendelee kuwadistract huku sisi tukijenga maisha bora
 
Back
Top Bottom