Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapana mkuu in engineering point foundation ndio kazi kwingine n mteremko hapo ukishasimika nguzo au column hizo beams zinakuwa manufactured kiwandani hapo ni unazipatch tu so hapo wanavosema 60% imekamilika mean kwenye foundation na other important works ziko above 85% mean hapo hata wakiamua ndani ya mwezi wamalize wanamalize it a matter of their choice according to their documents

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mie naona wako on track kwa daraja maana beams wanazo ni kuzipachika then kokoto, reli na catenary polls! 2 km is not a lot!
 
095F6B06-DEF8-433B-B8A6-96B18D53AB38.jpeg
 
kama hujui uwepo ya hio ndege itaongeza mapato pale kwenye loss endapo ndege kubwa zinaleta hasara. Maana capacity ya Fokker ni 48 si rahis hii isafiri bila kuwa fully... sasa wew unajisifia ndege kubwa na pengine hazijazi watu na bado kila mwaka shirika lenu linapata hasara...
Profit ikitoka wapi? Nimesikia inatoa watu singida hadi chato?

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
wakenya ni washamba sana. wanajisikia ufahari kupanga foleni kwenye migahawa inayouza western junk food ilhali wengi wao wanaishi kwenye nyumba za ku-rent.

cartoon hii inaakisi maisha yao ya kila siku ya wakenya wa nairobi.
Screenshot_2019-04-04-12-52-44-166_com.facebook.katana.jpeg
 
Back
Top Bottom