Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndugu Levi, hawa watu wa porojo na propaganda bado hawajafika, ona habari hiyo,





And i told them to compete with Jambo jet of kenya ama hiyo yao precision air, TZ Air is still shit, sijui wanajigamba ya nini
 
And i told them to compete with Jambo jet of kenya ama hiyo yao precision air, TZ Air is still shit, sijui wanajigamba ya nini
We jibwa koko kabisa! fleet ya kq mna ndege tatu, mnalease aircrafts na losses mnapata tena sio kidogo. You are a mere kunyan citizen who doesn't even know the economic idea behind this. ATCL bado mostly flights zake ni domestic na international destinations ni Entebbe, Bujumbura, Harare na Lusaka. Tunazidi kutaka kupanua wigo wa ATCL kwenda Guangzhou, China na Mumbai, India kwenye major importers of our goods. Sasa wewe na hilo domo lako kama jibwa lifunge! utapata aibu sana kuwa hapa, nenda darasani kasome hata umalize primary education ndo urudi hapa
 
Whatever the case,hata hizo tatu huwezi pata ndani Fokker 50.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nn tatizo la fokker 50 mbona kenyatta anatumia fokker 28 na hatusemi hapa wakat the same fokker 28 huku inatumiwa na mawaziri😆😆😆😆😆

Kenya presidential aircraft👇👇👇
41FB7974-F385-46ED-B606-132FF82A2959.jpeg




🇹🇿🇹🇿🇹🇿👇👇👇👇inatumiwa na mawaziri
D5113483-F299-4338-A6DF-C9A9F106BFE5.jpeg
 
Ndugu Levi, hawa watu wa porojo na propaganda bado hawajafika, ona habari hiyo,




Si bora yetu sisi tunaowapa shavu majirani nyie ni nini mnatoa kwa east africa zaidi ya ukabila na roho mbaya😆😆😆😆
 
Ila ATCL will find it hard to reclaim that business later on when it wants to enter cargo business! I don't necessarily like the bromance btn Kagame n Magufuli!
Hapana bro unajua biashara ya samaki ni muhimu sana kwa nchi ni vyema kufanya hvyo kutangaza market abroad kwanza inakupa faida kwa maana utakapoanza ww hutatumia gharama kubwa kutafuta soko na maeneo
 
Whatever the case,hata hizo tatu huwezi pata ndani Fokker 50.

Sent using Jamii Forums mobile app
A220 mbili
Dreamliner moja
Q400 NewGen tatu
6 modern aircrafts bought in cash! Oh I forgot another Dreamliner is late and Boeing has to pay us few $(few but can feed the entire Turkana hunger infested society for more than a month)
 
kama hujui uwepo ya hio ndege itaongeza mapato pale kwenye loss endapo ndege kubwa zinaleta hasara. Maana capacity ya Fokker ni 48 si rahis hii isafiri bila kuwa fully... sasa wew unajisifia ndege kubwa na pengine hazijazi watu na bado kila mwaka shirika lenu linapata hasara...
Kq inamiliki ndege tatu na ni shirika lina miaka 48😂😂😂😂
 
economy,bigger than dar,
airport,biggest in east africa,
developed than dar
industrialized than dar
intelligent than dar
technological advanced than dar
popular than dar
beautiful than dar
My friend zungumza vitu ukiwa na akili timamu plz👇👇👇👇
Airport kwa sasa hio sahau
Industrializationa kwa sasa hio sahau
Beautiful ndio usiongee kabisa sahau
Eti inteligent of what😆😆😆 labda kwa wakora na wezi
Which technology do u mean???😂😂
Developed hio sahau

Yani sahau kitu inaitwa dar of 90s😁😁
 
Back
Top Bottom