Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,879
- 103,740
Ya Kenya pia inayoenda Malawi, Zambia na Zimbabwe haitaweza kuihepa Tanzania baba lao. Usitukane mkunga ungali uzazi upo! Ni mwendo wa kukusanya road toll toka trucks za Kenya zinazoenda nchi hizo tatu!Sasa hivi tutatusua 100% mizigo ya malawi wahenga walisema adui yako mwombee njaa
