Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 6,220
- 6,573
Izo health centre zote Zimepewa kati ya tsh 400-Tsh500M Za ujenzi na Tshs200M Za vifaa vya kuanzia...nchi nzima...hapa mh nampa 100%
Tumajengo twa kishamba tu huto ndo unachafua uzi hauko xriac
Kwa kenya wangeigeuza kua hoteli ya kitalii😂😂😂😂
Acha hasira kwenu ingekua hoteli hio😆😆😆 na hio hospitali iko ushagoTumajengo twa kishamba tu huto ndo unachafua uzi hauko xriac
Their KING is back, standing highTanzania Yaongoza Kwa Uwekezaji Afrika Mashariki
View attachment 1063081
😂😂😂 Tena ingejengwa kijiji uhuru anachotoka tu.Kwa kenya wangeigeuza kua hoteli ya kitalii😂😂😂😂