Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

TGIF
IMG_20190405_113059.jpg
IMG_20190405_113054.jpg
 
😂😂😂😂 Kweli mchina alishawajua wakenya, yaani amewaletea chakula na gambe la kichina wasahau njaa wakishiba waje JF kutapika kwamba wana mabilionea wengi Nairobi 😂😂😂😂😂🔥
Mabilionea hewa😆😆😆😆
 
Labda ziwe Chinese local beer na isiwe Chinese liquor , huwa Hamna kitu chini ya 20 Alcohol. Wataua watu, wanatakiwa wale kwanza .



IMG_9212.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kweli mchina alishawajua wakenya, yaani amewaletea chakula na gambe la kichina wasahau njaa wakishiba waje JF kutapika kwamba wana mabilionea wengi Nairobi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom