Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe mi design ya Ubungo interchange ndio hii mbona yaki zee sana,, mi nlidhani hiyo yenye nyingi nyingi, coz ukiangalia vizur msingi wake utagundua sio ile tunayoionaga kwenye clip za YouTube
IMG_20190302_075211_371.JPG
IMG_20190302_075153_234.JPG
Screenshot_20190302-013421.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • IMG_20190302_075153_234.JPG
    IMG_20190302_075153_234.JPG
    58.2 KB · Views: 31
Sasa wewe unataka akwa update nini na ni mtanga tu hamna bado ujenzi wa maana? Rudi sinza pale kijiweni Kwa wambea wenzako.naona hata hautaenda kumzika Ruge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una google nakupata majina ya sehemu za Dar basi unajiona mjanja... Vipi umeoga kwanza maana Nai nzima hamna maji. Kama vipi nenda kwenye dimbwi la mmbu pale kwa park uka dibe.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Nadhani by 2025 miji mingi ya Tzn itakua na uwiano mzuri wa ushindani na ya Kenya kwenye miundombinu ya barabara hasa baada ya serikali kuanzisha TARURA lakini tatizo kubwa litaendelea kua ni ujenzi holela wa squatters
 
Mj nilikuwa nadhani ni hiyo ya tatu apoo kumbe ni ile kati ya ya 1 au ya 2, kiukweli nimeboreka ukitaka kuamini ona hapaView attachment 1035742

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata maana ya interchange hakuna ni flyover chini kabisa mataa Kama kawa yaan Ghana wametushinda,ilitakiwa interchange moja matata ubungo ni lango la jiji,Ghana wana uchumi gani hadi wajenge kitu Kama hii hapo chini?
 
Wewe una google nakupata majina ya sehemu za Dar basi unajiona mjanja... Vipi umeoga kwanza maana Nai nzima hamna maji. Kama vipi nenda kwenye dimbwi la mmbu pale kwa park uka dibe.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hamna ninacho Google bro,Dar Mimi ni kama mwenyeji hua nakuja Dar Sana hata juzi nimekua huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani by 2025 miji mingi ya Tzn itakua na uwiano mzuri wa ushindani na ya Kenya kwenye miundombinu ya barabara hasa baada ya serikali kuanzisha TARURA lakini tatizo kubwa litaendelea kua ni ujenzi holela wa squatters
Miji yenye slums zinazoongoza dunia 😂😂😂😂😂😂😂😂 ikiwemo kibera
 
Wewe una google nakupata majina ya sehemu za Dar basi unajiona mjanja... Vipi umeoga kwanza maana Nai nzima hamna maji. Kama vipi nenda kwenye dimbwi la mmbu pale kwa park uka dibe.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Napenda kupumzika pale Ramada resort na kama sina mishe nachezea Kwa mtanga pale Kibo na kwenda pale snake island pangavini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani by 2025 miji mingi ya Tzn itakua na uwiano mzuri wa ushindani na ya Kenya kwenye miundombinu ya barabara hasa baada ya serikali kuanzisha TARURA lakini tatizo kubwa litaendelea kua ni ujenzi holela wa squatters
Halmashauri zina pima sana viwanja siku hizi. Mikoa mingi ukitaka plot iliyo pimwa unapata, mpaka vya m2 na hati juu. wanajitahidi ila bado, wangezibiti kuanzia utoaji wa vibali, hamna kujenga bila kibali kama Dodoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda kupumzika pale Ramada resort na kama sina mishe nachezea Kwa mtanga pale Kibo na kwenda pale snake island pangavini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya wengi huwaga mnasema next week nitakua Dar, nakutupa ahadi za kutuma picha mbaya za Dar ila mkifika huwa mnakosa ubaya na kutupilia mbali camera zenu. Ila kwa case yako wewe hujafika kabisa una shobo sana ungetuma picha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa
Wamebadili design to a more and effective one. Level ya juu imeletwa chini,ya chini imewekwa juu. Na hii imefanya hata BRT isiathirike.
Nakataa hii sio nzuri labda uniambie gharama tumekwepa labda lakini hii design sio, hii ndio ingefaa halafu usipojenga interchange kali pale wapi utajenga km hii
Screenshot_20190302-013421.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halmashauri zina pima sana viwanja siku hizi. Mikoa mingi ukitaka plot iliyo pimwa unapata, mpaka vya m2 na hati juu. wanajitahidi ila bado, wangezibiti kuanzia utoaji wa vibali, hamna kujenga bila kibali kama Dodoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni maneno ya siasa ndugu ujenzi unafanyika Kama kawa na mavibali lengo ni kukusanya mapato via building permit fee Wala sio kudhibiti mpango mji
  1. Pili kasumba imejengeka kwamba viwanja vilivyopimwa bei ghali na hata kasi ya upimwajii ni slow sana
  2. Dom yenyew barabara ya iringa ni slums tupu na mitaa mingi tu,inatakiwa plots ziwe nyingi na watu walipe kidogo kidogo
 
Wewe ndiyo unaleta siasa, daily mimi napata taharifa ya miradi ya viwanja kuisha. Iko hivi kwa kipindi hiki ukitaka plot ambayo haijapimwa ni kujitakia labda iwe kijijini ila siyo town. Kama huna taharifa nitafute, Changamoto zipo sija kataa. Kwani huko Kenya kuna mji ambao hauna squatters? navyo jua nyinyi kwenye ishu ya squatter ni kama Brazil kwenye mpira. Nyie ndiyo ma champion wa dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom