Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Muongo mkubwa wewe usie na makao,15km has lost its meaning then.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii Location Karibu na swimming pool Au uwanja wa mpira pale Mlimani , Check . Kasema toka CBD.

IMG_8272.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mr. liguid, mzee wa konki fire yupo kenya anatengeneza pesa.

demand yake ni kubwa sana kenya, ikabidi wakenya waje dar es salaam kuingia naye mkataba wa kibiashara ili awe anafanya appearance kwenye event mbalimbali nchini humo. hii ni poa sana.

hongera sana mzee wa liquidiiiii.... konki fire... isoke isoke... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122].
IMG_20190228_141754.jpeg
IMG_20190228_141901.jpeg
IMG_20190228_141945.jpeg
IMG_20190228_142007.jpeg
 
Wakenya hawakupewa nafasi😂😂😂👇👇👇👇👇👇 au vipaji vyao ni vya wizi tu

 
Back
Top Bottom