instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,544
- 19,491
Flyover itaanzia kwenye foot bridge kwahyo maximum height itakuwa karbia na junction ..so footbridge haitaguswaKama fly over inafika mpaka huko kuna uwezekano hiyo foot bridge ikavunjwa pamoja na stand ya BRT
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndinda wanajua kama huo mpini upo Dar 😂😂😂Mpini wetu
Watani wa jadi wanasema how many blue towers????🤣
Kuna ka msemo by my favorite photographer Dhlaxman “Dar, Blue looks good on you”
View attachment 1035230
View attachment 1035231
View attachment 1035232
View attachment 1035233
View attachment 1035234
View attachment 1035235
View attachment 1035236
View attachment 1035237
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyo dada anahitaji kuwa na youtube page yake ili hizo views zimlipe. She is so good
huyu presidaa anatumia vituz huyu
Check hapa mkuuFlyover itaanzia kwenye foot bridge kwahyo maximum height itakuwa karbia na junction ..so footbridge haitaguswa
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Super stuffFlyover itaanzia kwenye foot bridge kwahyo maximum height itakuwa karbia na junction ..so footbridge haitaguswa
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Uwe unatupa updates za pichaSie tunaofanyia kazi ubungo tunaona njia inapoanza kupanda haigusi daraja
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuona pale ubungo mara nyingi tu ukiuza nguo, biashara ya nguo hapo ubungo vipi?Sie tunaofanyia kazi ubungo tunaona njia inapoanza kupanda haigusi daraja
Sent using Jamii Forums mobile app




Cheki hii picha jinsi mji wa sumbawanga ulivyojitabidi kupangika kimitaa kwa nyumba zetu hizi hizi dream house
Swax pamenoga kuna barabara nyingi nzuri tena zina street lights na mji sehemu kubwa makazi yamepimwa but unfortunately Kama kawaida ya Tzn nje ya mji Kuna kua fasta lakini squatter yaani ni shidaBora sumbawanga ila watu wa bukoba wanajidai tuu lakini ovyo kabisa
Hili jengo limeielevate dar Kama tpa na pspf twin towersMpini wetu
Watani wa jadi wanasema how many blue towers????🤣
Kuna ka msemo by my favorite photographer Dhlaxman “Dar, Blue looks good on you”
View attachment 1035230
View attachment 1035231
View attachment 1035232
View attachment 1035233
View attachment 1035234
View attachment 1035235
View attachment 1035236
View attachment 1035237
Sent from my iPhone using JamiiForums