Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar es salaam
D0Y7V-vWsAA4MNu.jpg
 
mr. liguid, mzee wa konki fire yupo kenya anatengeneza pesa.

demand yake ni kubwa sana kenya, ikabidi wakenya waje dar es salaam kuingia naye mkataba wa kibiashara ili awe anafanya appearance kwenye event mbalimbali nchini humo. hii ni poa sana.

hongera sana mzee wa liquidiiiii.... konki fire... isoke isoke... .
View attachment 1034230View attachment 1034231View attachment 1034232View attachment 1034233
Haka kajamaa sikaelewagi ila ndo kanatoboa kiulaini kwa kutumia Gambe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom