Walker255
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,884
- 12,949
Another mess😆😆😆😆👇👇👇
oh shit!
Another mess😆😆😆😆👇👇👇
Jumba refu zaidi Afrika Mashariki na Kati lashinda tuzo Ujerumani
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kumbe sheria yao ya manunuzi inaruhusu kununua vitu vya mtumba!! Hii mbaya sana..Another mess
Nasisi tuweke mnara kwenye jengo la Tpa si rahisi tuHongereni Kenya
Sent from my iPhone using JamiiForums
Na hapo ndipo wakenya wanapotuzidi tukijenga jengo la 160 meter wao wanapiga 165 na mnara watz mainjinia wa tz na planners tuamkeHongereni Kenya
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jumba refu likihesabuwa na mnara juuu😆😆😆😆😆😆😆Hongereni Kenya
Sent from my iPhone using JamiiForums
Another mess😆😆😆😆👇👇👇
😀😀😀😀😀😀😀 na unaweza kuta mnara ukawa mrefu kuliko jengoJumba refu likihesabuwa na mnara juuu😆😆😆😆😆😆😆
Wakishindwa kurefusha jengo wanaweka mlingoti ili liwe refu hakika tutapata tabu sana na jirani 😂😂😂😂Na hapo ndipo wakenya wanapotuzidi tukijenga jengo la 160 meter wao wanapiga 165 na mnara watz mainjinia wa tz na planners tuamke
Sent using Jamii Forums mobile app
Vya kwetu vizuri.Hivi ni vya kwetu View attachment 1031651View attachment 1031652View attachment 1031653View attachment 1031654View attachment 1031655View attachment 1031656View attachment 1031657View attachment 1031659View attachment 1031660
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Wawape wawekezaji patabadilika kabisa paleWaziri wa tamisemi kasema wanahitaji $100M kufanya uwekezaji mkubwa katika bonde la mto msimbazi mradi ambao unanukia kuiva, hii itafanya eneo hilo kua kivutio kikubwa hapo baadae cha uwekezaji
Godbless Tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari USD 20 Mil ya kuanzia imeshapatikana...Waziri wa tamisemi kasema wanahitaji $100M kufanya uwekezaji mkubwa katika bonde la mto msimbazi mradi ambao unanukia kuiva, hii itafanya eneo hilo kua kivutio kikubwa hapo baadae cha uwekezaji
Godbless Tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri wa tamisemi kasema wanahitaji $100M kufanya uwekezaji mkubwa katika bonde la mto msimbazi mradi ambao unanukia kuiva, hii itafanya eneo hilo kua kivutio kikubwa hapo baadae cha uwekezaji
Godbless Tz
Sent using Jamii Forums mobile app