Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Annael

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,828
2,000
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
 

Godwin Gen

JF-Expert Member
Oct 24, 2017
1,253
2,000
Kumbe ndio maana baadhi ya nchi hazifurukuti kwa marekani. Halafu nimegundua kitu takwimu za kiuchumi zote zinatolewa na marekani coz kama sio WHO au IMF utakuta ni CIA na unajua wanachokifanya? Huwezi toa takwimu mbaya kwa demu unaemgonga thats why nawaambia majirani wajiangalie vizuri kuchekelea takwimu coz zote zinatoka kwa waUSA na wataendelea kuwapa hopes mpaka wakifika mahali wakajikuta maji shingoni kutakua kushakucha. Ni tahadhari tu, sio lazima wakubali
 
Top Bottom