Halafu design Precisionair wamewanyima hangar! Yaani hapo ni full bad coverage kwa kila msafiri anayepita! ๐ โbad news:
nasikia injini ya ndege hii ya kenya airways imepata hitilafu pale uwanja wa ndege wa kimataifa wa dar es salaam.
siku zote adui yako muombee njaa.
View attachment 1029963
Hii ni kama ile sgr ninahisi mchina kahusika! Waje kujifunza huku!another bad news from kenya:
uwanja wa ndege wa kisumu uliogharimu mabilioni ya pesa za walipa kodi wa kenya, umekumbwa na mafuriko.
View attachment 1029999View attachment 1030000
Just imagine toka January this year wameshauza matrekta zaidi ya 250 ndani ya miezi miwili tu, kwa nini Tanzania isitajirike? Alafu kuna watu wanasema watanzania wavivu wao aggressive wakati njaa zinawaua.Jembe la mkono linaenda kupotea taratibu. Hili nimelishuhudia Morogoro, watu wana tumia sana tractors. Ata kimahesabu kuweka watu walime 1 hectare kwa mkono ina cost zaidi bora kukodi tractor.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kama ile sgr ninahisi mchina kahusika!
Wewe uko kigoma ama uko kwenu chigaliNa sisi tuliopo huku vijijini kigoma tunaruhusiwa kutuma picha?
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Jamaa wana confused priorities! kuna sehemu nimeona wanajipiga kifua kuwa wana tengeneza ndege.Just imagine toka January this year wameshauza matrekta zaidi ya 250 ndani ya miezi miwili tu, kwa nini Tanzania isitajirike? Alafu kuna watu wanasema watanzania wavivu wao aggressive wakati njaa zinawaua.
JPM kafanya la maana sana kuleta hiki kiwanda Tanzania, sasa tutaulisha Africa yote kwa style hii.
Kuna kile kiwanda cha vigari vya voksiwagen kinauza vigari 90 kwa mwaka mahali alafu kelele huku hatulali. Smh
๐๐๐๐๐Jamaa wana confused priorities! kuna sehemu nimeona wanajipiga kifua kuwa wana tengeneza ndege.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hii iliyopigwa winch pale Dar ni moja ya zile 3 zilizogongana kule Nairobi au hii imekuwa ya 4 kuharibika ndani ya wiki 3 hizi?![]()
Sasa wao kutengeneza hizo ndege hawajui kama ni liability? Sababu najua hawana uwezo wa kutengeneza ndege kama ndege zaidi ya kurepair hizo skrepa za KQ zilizogongwa na rubani mlevi wa chang'aa hapo JKIA, yaani kwa hii pace JPM anayotupeleka nayo we're on the right track kibabe.