Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,829
Points
2,000
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,829 2,000
Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
 
NDINDA

NDINDA

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Messages
4,743
Points
2,000
NDINDA

NDINDA

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2011
4,743 2,000
Magomeni hii au nimekosea!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa DIT akiwa ameelekea Fire, Majengo unayoaona ni Umoja wa Vijana 1&2 Ndio yanayohouse Mall kali Inaitwa Aura Mall, Na Kuna The only curved screen pale Century Cinemax. Mengine mengi pia Fanya siku moja ukatembelee.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
tuusan

tuusan

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Messages
9,938
Points
2,000
tuusan

tuusan

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2016
9,938 2,000
Leo nilienda Moshi kumpeleka dogo shule siku zote napitaga hapa Shanty town bila kupiga picha ila hili eneo liko poa sana, barabara za lami kila mahali utakapogeuka, diversity, na ni sehemu ambayo miti inathaminika kama uhai wa binadamu, moshi iko poa sana. Samsung s8 yangu kuisha charge nikatumia android jameni, sorry sana kwa quality ya hizi photosView attachment 1017125View attachment 1017127 View attachment 1017109View attachment 1017111View attachment 1017112View attachment 1017113View attachment 1017114
Bado upo Moshi? Ungetupia mipicha ya shanty mijengo bablai...hua kumetulia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Messages
3,119
Points
2,000
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2018
3,119 2,000
Na sisi tuliopo kazuramimba kigoma picha zetu ruksa kutuma?

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
swagire

swagire

Member
Joined
Jan 7, 2019
Messages
10
Points
45
swagire

swagire

Member
Joined Jan 7, 2019
10 45
Hapa DIT akiwa ameelekea Fire, Majengo unayoaona ni Umoja wa Vijana 1&2 Ndio yanayohouse Mall kali Inaitwa Aura Mall, Na Kuna The only curved screen pale Century Cinemax. Mengine mengi pia Fanya siku moja ukatembelee.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Daah napajua, sema sijacheki ki umakini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
frydlant

frydlant

Member
Joined
Feb 3, 2019
Messages
11
Points
45
frydlant

frydlant

Member
Joined Feb 3, 2019
11 45
Hii battle ya Kenya na Tanzania sijawahi kuilewa hata kidogo, watu hawana pesa mfukoni na wanaishi Jangwani, Tandika na Mwembe Yanga lakini wanajivunia magorofa, watu wanaishi Kibera, Mitumba na Mathare bila vyoo lakini wanajivunia kiingereza na ndege, maisha yakiwatinga wanakimbilia Ulaya nchi za Scandinavia, Ujerumani, Uholanzi nk kwenye Pochi nene lakini kiingereza hakina kipaumbele na magorofa si msamiati wao ni msamiati wa USA, China, Russia na UAE. Ethiopia wana mandege kibao fleet size 108, barabara za hatari, treni za kisasa lakini wananchi wao hawana pesa, watoto wa mitaani Addis Ababa wakucheba, kila kukucha waithiopia wahamiaji haramu wanakamatwa kwenye makontena huko Tanzania. Pamoja na kwamba Kenya airways ina ndege nyingi mara 6 ya Tanzania lakini maisha ya Kibera, Mathare ni Utata. Guys, you have to be serious, pigeni kazi acheni ubishi usioingiza pesa mfukoni.
 
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
12,007
Points
2,000
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
12,007 2,000
Hii battle ya Kenya na Tanzania sijawahi kuilewa hata kidogo, watu hawana pesa mfukoni na wanaishi Jangwani, Tandika na Mwembe Yanga lakini wanajivunia magorofa, watu wanaishi Kibera, Mitumba na Mathare bila vyoo lakini wanajivunia kiingereza na ndege, maisha yakiwatinga wanakimbilia Ulaya nchi za Scandinavia, Ujerumani, Uholanzi nk kwenye Pochi nene lakini kiingereza hakina kipaumbele na magorofa si msamiati wao ni msamiati wa USA, China, Russia na UAE. Ethiopia wana mandege kibao fleet size 108, barabara za hatari, treni za kisasa lakini wananchi wao hawana pesa, watoto wa mitaani Addis Ababa wakucheba, kila kukucha waithiopia wahamiaji haramu wanakamatwa kwenye makontena huko Tanzania. Pamoja na kwamba Kenya airways ina ndege nyingi mara 6 ya Tanzania lakini maisha ya Kibera, Mathare ni Utata. Guys, you have to be serious, pigeni kazi acheni ubishi usioingiza pesa mfukoni.
Wewe una uhakika gani wabongo kwenye hii nyuzi hawana maisha!!!umefiatilia kila mmoja humu ukamuelewa sawa sawa???

Maisha magumu hayana maigizo mzee,sio masihara,ukiona mtu ananunua bundle la elfu mbili kwa siku anachezea chezea tu na kushinda mtandaoni ujue anajua anachokifanya,sio rahisi kama tunavyotaka kuaminishana.
 
Forum statistics

Threads 1,304,734
Members 501,503
Posts 31,524,795
Top