Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,830
Points
2,000

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,830 2,000
Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
 

Godwin Gen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2017
Messages
914
Points
1,000

Godwin Gen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2017
914 1,000
Kama mtu ananunua bundle ya 2000 kila siku atafute kazi ya kufanya. Angekuwa ana wife router nyumbani kwake au ana bundle unlimited ya miezi mitatu au angalau ya mwezi mmoja ningekaa kimya
Tatizo lako bro ugonjwa wa siasa umekua chronic akilini mwako na mara zote ukikumbwa na huu ugonjwa unaharibu kinga akilini mwako unaanza kushambuliwa na vigonjwa vingine kama vile negative to your country (Kukosa uzalendo), uchu wa madaraka, hasira n.k. Nakushauri hii battle utuachie maana ni kama msai kaingia disco vile na ukiendelea kustay tutakuvua hiyo rubega tukunyang'anye na rungu
 

frydlant

Member
Joined
Feb 3, 2019
Messages
11
Points
45

frydlant

Member
Joined Feb 3, 2019
11 45
Tatizo lako bro ugonjwa wa siasa umekua chronic akilini mwako na mara zote ukikumbwa na huu ugonjwa unaharibu kinga akilini mwako unaanza kushambuliwa na vigonjwa vingine kama vile negative to your country (Kukosa uzalendo), uchu wa madaraka, hasira n.k. Nakushauri hii battle utuachie maana ni kama msai kaingia disco vile na ukiendelea kustay tutakuvua hiyo rubega tukunyang'anye na rungu
:D:D:D:D:DHaya ngoja niondoke huku ambako ukibishana kuhusu magorofa ndo ishara ya Uzalendo
 

laizerg

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Messages
742
Points
1,000

laizerg

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2017
742 1,000
mi sipendi jitu linayojifanya linajua kila kitu halafu linakosa hesabu ya 2+2. we umejiunga leo leo unaanza kuwabishia wenyeji halafu kwa jukwaa lisiloendana na fikra zako. si uwende huko kwenye thread za siasa ukabishane huko. halafu huna facts hata huko kwenye siasa hutufikii wenyeji maana mtazamo wako wote upo kapuni na dhamira yako tushaijua. ondokoa huku bro tukutane majukwaa uyatakayo tuone kama kichwa chako kinachaji vizuri. UNABOA
 

Forum statistics

Threads 1,353,857
Members 518,393
Posts 33,083,020
Top