Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

F951A743-F920-4908-8D31-317F2C57EF03.jpeg
 
Ishu ya mpaka wa kenya na Somalia. Naona wakenya wapo sahihi. Somalia wanakosea kwa kweli kuhusu ule mpaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana bro somalia wako sahihi kabisa huwez kata mpaka kwa kwenda juu lazma ukate mpaka kwa kunyoosha mstari wakenya ni watu wanaojifanya wao wajanja dunia nzima kumbe ni wajinga hawana mfano

Hata ukiangalia vita wanavopigana na somalia wapi kimaslahi zaidi nyuma ya mgongo wa marekani
 
Mpaka unatakiwa kunyooka straight kwenda kulia kuingia baharini toka kwenye ardhi. Somalia ndo wanapindisha kuingia eneo la Kenya which is wrong.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu vituo vya soga na pugu ni vidogo kwasababu ya location yake na pia kwasababu capacity ya abiria itakayohudumia coz hatuwezi kujenga kituo cha kuhudumia abiria 1m wakat capacity yake ni 100k tutakua tunatumia vibaya pesa zetu mm nafkiri serekali iko makini sana kwa hili na wako sahihi
Isotoshe hitaji likija mbeleni, vitapanuliwa! Ikumbukwe reli inahitaji kufika Mwanza na Isaka! Phase tatu bado hazijaanza!
 
Back
Top Bottom