Ona sasa unavotapatapa! Naanza kukuonea huruma!
Mimi huko kwenye sqm sipo wala sijawai kuongelea... hahaha povu linakutesa!
Umesema Kenya airways hawana ndege hata moja, zote wamekodi. Swali langu dogo sana, hizo dreamliner wamekodi ukipenda wamelease kutoka airline ipi? Au kampuni gani?
Hivi wewe si Ulikua unatafuta link? Umekuaje tena? Au povu imekua too much?! Hahaha. Povu la 2017 sio mchezo!! ......... ushauri wa bure, tafuta cha kukatia hilo povu kisha ulale! Najua unataka utumie bundle ya usiku kutafuta link lakini angalia kwanza usalama wa mdomo wako! povu jingi ni hatari kwa afya yako
ichoboy01 mi nakuambia! Ohooooo!!! Hizi link zipo tu mdogo wangu, hata Kesh uta google