https://www.jamiiforums.com/members/ichoboy01.420069/umenifurahisha saaaana!!! Asante for information. Hichi ndo nilichokua nakomalia.... umezunguuka weeeee but mwishowe ume-deliver!! Well done kwa kweli!
Hahaha ha ichoboy01 sijui ulikua busy sana unagoogle kiasi kwamba hukufatilia maongezi yalivyokua yana flow? Unakumbuka hii comment?Sasa hujui kama walinunua ahahhahahaha
Hio ndio jibu nimekwambia kama walinunua cash kwa sifa mlizokua nazo dunia nzima ingejua sasa niletee official source inayosema kenya airways imenunua ndege ya aina yoyote sio tu dream liner ndege ya aina yoyote😀😀😀
Muda unao umebakiza siku moja do my assignment please🙂🙂🙂🙂
Alishindwa wanjala umekuja wewe sasa tafuta hio source kua kenya airways imenunua ndege cash ya aina yoyote 😛😛😛
Huwezi kujibu kwasabbu ukweli unaujua hahhahahahhahaha 🙂🙂🙂🙂
Nataka source kua kenya airways imenunua ndege ya aina yoyote ukinipa hio source alaf tutaendelea sasa nikufundishe mambo ya aviation😀😀😀😀😀😀https://www.jamiiforums.com/members/ichoboy01.420069/umenifurahisha saaaana!!! Asante for information. Hichi ndo nilichokua nakomalia.... umezunguuka weeeee but mwishowe ume-deliver!! Well done kwa kweli! View attachment 503235
Nataka source kua kenya airways imenunua ndege ya aina yoyote ukinipa hio source alaf tutaendelea sasa nikufundishe mambo ya aviation😀😀😀😀😀😀
Elewa swali kwanz na hili swali umelivamia mwenyewe..alikua ajibu wanjala wewe ukalidakia hewani sasa Nipe source baba....swali ulilivamia mwenyewe sasa jibu tafadhali nataka source kua kenya airways imenunua ndege ya aina yoyote sio tu dreamliner ya aina yoyote😛😛😛
Hahahahahahaaaa fatilia comment zangu dogo. ... na hili unakaza kichwa?!😀😀Swali lilikua la wanjala umelidakia wewe sasa nijibu nilichomuuliza wanjala😀😀😀😀😀😀
Assignment niliompa wanjala kashindwa na wewe umeshindwa hahahhahahah😀😀😀😀😀😀
Unachange topic hahhahahhah eti hujui kama wamenunua au wamiba hhahhahahah
Wewe huongea sana. Ukikosa content you make up for it na a lot of rubbish talkUnachange topic hahhahahhah eti hujui kama wamenunua au wamiba hhahhahahah
Sasa kma hawajanunua watamiliki vipi iwe yakwenu au nyie ndio Boeing manufacturer 😛😛😛😛😛😛😛
Wazee wa chawapoke.......chama cha watoa povu kenya😀😀😀😀 safari hii kila sehemu mumedunda munajaribu mkijaribu lakini wapi 🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Hehehe..... hapo nakupa screenshot za comment za zamani. mimi sio kama wewe kabla hujapata link ulikua unarukaruka hapakule hapakule lakini nikakutulizaUnachange topic hahhahahhah eti hujui kama wamenunua au wamiba hhahhahahah
Sasa kma hawajanunua watamiliki vipi iwe yakwenu au nyie ndio Boeing manufacturer 😛😛😛😛😛😛😛
Wazee wa chawapoke.......chama cha watoa povu kenya😀😀😀😀 safari hii kila sehemu mumedunda munajaribu mkijaribu lakini wapi 🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Wewe ungeenda shule sidhani kama ungefaulu!!! hehehe 😀... unakaza kichwa kichizi... Fatilia comment zangu toka mwanzo mimi nilichokuuliza ni wamiliki wa dreamliner hayo mengine umeongezea wewe.Eti umesoma link za sub lease unakuja kutunisa mishipa hahhahahhaha kwanza soma uelewe maana ya sub lease , 😀😀 nyie mume lease alaf mkalease kwa another company,
Na kwanza unaijua sababu ya sub lease mliofanya ahahhahaha soma mdogo wangu au uliza kama hujui hakuna mtu atakucheka hapa
Niliwah kusema hapa mkishiriki sifa sana mtakufa masikini 🙂🙂🙂🙂
Bro kwa taarifa yako kma ulikua hujui aviation is my faculty😀😀😀😀
So karibu Sana🙂🙂🙂
konyagi kama kichwa yako ni nyepesi huwezi himiri.tuachie sisi watu wazito.Konyagi hukaa 2nd generation..Hio siezi kunywa....
Assignment yangu imekushinda 😀😀😀😀😀😀
Nilijua tu hahhaaha mwenzako wanjala kashindwa akakimbia ukajifanya we mjuaji sana
🙂😛😛😛😛😛
Lakini nimekupa siku mbili muda bado unao sana jitahidi usikate tamaa🙂🙂🙂
Niletee official source inayosema kua kenya airways imenunua ndege ya aina yoyote cash
🙂🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙂

Konyagi ni chang'aa iliyowekwa kwenye chupa.konyagi kama kichwa yako ni nyepesi huwezi himiri.tuachie sisi watu wazito.
aliyeanza kumpatia mwenzake assignment kati ya wewe na yeye ni nani?hehehehehehe.... sina mbavu!!! Usharuruka ruka sana toka juzi nakuangali alafu mimi nakomalia swali langu last toka juzi! Yani halijabadilika. Linasoma vile vile. Wamiliki was dreamliner ni nani? Swali dogo sana siku ya tatu Leo!
Mie kweli sijui kama walinunua cash au mkopo ntajuaje labda waliiba na ndo maana sijawai kuongelea. Basi wewe unaejua wamekodi tuambie wamekodi kutoka wapi? Siku ya tatu unatafuta! Hujapata tu! Hahahahaha😀
Sema tu kama hujui lakini kama Umeona ukwepe kwa staili hiyo pia hamna shida yote maisha mdogo Wangu. Punguza povu tu......

Cheki Hapo kuna kitufe cha "previous page"😱. Please find out and when you do, keep it to yourself😀!!aliyeanza kumpatia mwenzake assignment kati ya wewe na yeye ni nani?![]()
![]()
Hii Ni pale OLE SERENI?
Nashangaa nilimpa assignment wanjala akakimbia jamaa akadakia akafkiri jibu rahisi kumbe mtego wa Bomu sasa anaanza kukenua kenua tu na kuzuga hawezi kujibu hill swali kwasababu hawana😀😀😀aliyeanza kumpatia mwenzake assignment kati ya wewe na yeye ni nani?![]()
![]()
Jibu huna ahahhahaha assignment ya moto 😀😀Hehehe..... hapo nakupa screenshot za comment za zamani. mimi sio kama wewe kabla hujapata link ulikua unarukaruka hapakule hapakule lakini nikakutuliza