Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

First lady doing some shopping in one of the Shopping Center
B-7M66EU4AAYeuV.jpg
 
Sasa metropolitan haiingiii kwenye urban city area ni region ambayo iko outside the city area ndio maana nakwamba nairobi city area inaingia Mara tatu kwa dar..tunabishana nn sasa
nimekueleza utafute waalimu wakurudishie hela maana hakuna walicho kufunza.ina maana kama mpaka uliwekwa miaka ya 1960 kua mji mwisho utakua huu mto kwa mfano.tupo mwaka wa 2017 ambapo bado sheria inasema mwisho ni uleule mto lakini mji ulikua na kuupita ule mto na wengi huuvuka kila siku kuja kufanya kazi pande zote mbili,upande ule ulioratibiwa kuwa mji ndio mji kulingana na wewe. hapo ndipo metro inaingilia inafaa ukamuliwe kamasi kutoka kichwani kama hujaelewa
ichoboy01 na Nivlark mabishano yenu naona hayasaidii chochote maana tofauti na lugha, ni wazi kwamba mna level tofauti ya uelewa, kama mbingu na ardhi. Kwaiyo nawashauri muache mara moja!
 
Kwa kiingereza huwa inaandikwa rat infested not infestation ambia mwalimu wako wa kiingereza arudishe hela alifanya kazi chwara
Nivlak na Edward Wanjala, you people are always putting down and slagging Tanzanians for making common English mistakes.

Now Nivlak, Wanjala has responded to me as follow, I qoute " You think Nairobi is Dar is Slum? where everyone lives in the slum?? That is life in Dar is slum not Nairobi." What kind of English is that?

Can you correct your colleague for his mistakes as well since you are an English teacher? You must be misguided to think that all Kenyans speak excellent English than Tanzanians.
You think Nairobi is Dar is Slum? where everyone lives in the slum?? That is life in Dar is slum not Nairobi
 
Nivlak na Edward Wanjala, you people are always putting down and slagging Tanzanians for making common in English mistakes.

Now Nivlak, Wanjala has responded to me as follow, I qoute " You think Nairobi is Dar is Slain? where everyone lives in the slum?? That is life in Dar is slum not Nairobi." What kind of English is that?

Can you correct your colleague for his mistakes as well since you are an English teacher? You must be misguided to think that all Kenyans speak excellent English than Tanzanians.
Tumia miwani, Dar is Slum, sijaandika Dar is Slain! Do you have eyes?? I have never correct anyone In any Grammatical mistake in JF you are mistaken
 
Tumia miwani, Dar is Slum, sijaandika Dar is Slain! Do you have eyes?? I have never correct anyone In any Grammatical mistake in JF you are mistaken
At least wewe unaeshima na unanishauri nitumie miwani, kuliko yule mkenya mwenzako Nivlak.
 
Nimezipitia zote, hakuna inayotaja dreamliner wame-lease kutoka wapi! We Wape hiyo yakuonyesha kabisa wamiliki was hizo dreamliner ndo utawanyamazisha vizuri.😀😀
Muulize wanjala anajua zaidi😀😀😀😀😀
 
Kaelewa na ndio ukweli ulizo hahahhhahahhaha😀😀😀😀😀😀
hamna ukweli hapo ila umeng'ang'ania tu you dont want to see the cup from the other side you are just adamant that the cup looks like what you see not what others see but its still the same cup
 
hamna ukweli hapo ila umeng'ang'ania tu you dont want to see the cup from the other side you are just adamant that the cup looks like what you see not what others see but its still the same cup
Ikiwa wikipedia, encyclopedia na Google map zinasema uongo dhidi ya kenya sawa ntakubaliana na wewe😀😀🙂😀
 
Back
Top Bottom