Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimezipitia zote, hakuna inayotaja dreamliner wame-lease kutoka wapi! We Wape hiyo yakuonyesha kabisa wamiliki was hizo dreamliner ndo utawanyamazisha vizuri.😀😀
oma tena hiyo comment yangu ya zamani kwa mara nyingine.
Naona unavojitoa ufaham kila unavyoniquote! Nakukumbusha TENA.
link unazoleta zinaonyesha kampuni ambazo zimekodi dreamliner KUTOKA Kenya airways.
Swali nikuwa kama Kenya airways hawazimiliki hizo dreamliner unavyosema, tuambie wamiliki ni kampuni gani?
Jiepushe na povu

Yani cha ajabu nachokiona leo kua kampuni yakwenu lakini huna ulijualo 🙂😀😀😀
Sasa moja ya sababu ya kenya airways kupata hasara kubwa ni kulease aircrafts ni moja ya sababu kasome vizuri.....😛😛😛😛😛
Alafu assignment uifanye usitoke wima tu..soma hizo links nilizoweka hapo please

https://www.google.com/url?sa=t&sou...ggbMAA&usg=AFQjCNHMVa_ygeX5OCUF6s1vLoOIt6g_4Q

https://www.google.com/url?sa=t&sou...ggfMAE&usg=AFQjCNFqhHUnlKwp_keBiK7K4W4j6WzuWA

https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=/amp/s/www.jamiiforums.com/threads/plane-leasing-deals-leave-kenya-airways-with-sh4-billion-loss.1111083/%3Famp%3D1473447644&ved=0ahUKEwimv-ehxMvTAhXlLsAKHb7kCVEQFggiMAI&usg=AFQjCNE2IH9vDeGqtXrt6FLtvtkwusrhiQ
 
33008736544_8d2bdddd05_b.jpg

upperhill has changed alot in the last five years...cant wait for the like of hass,montave and upperhill chambers to complete the clustter
 
oma tena hiyo comment yangu ya zamani kwa mara nyingine.
Naona unavojitoa ufaham kila unavyoniquote! Nakukumbusha TENA.
link unazoleta zinaonyesha kampuni ambazo zimekodi dreamliner KUTOKA Kenya airways.
Swali nikuwa kama Kenya airways hawazimiliki hizo dreamliner unavyosema, tuambie wamiliki ni kampuni gani?
Jiepushe na povu
Niletee wewe hio link sasa maneno ya nini hahahhahahahahah Nipe official link inayosema kenya airways imenunua ndege cash😀😀😀😀😀 Fanya assignment yangu plz😛😛😛
Usizuge Mara unajizungusha huku kule wewe Fanya assignment niliompa wanjala akakimbia
Kama umeamua kumsaidia wanjala then Fanya assignment nimekupa 2 days😛😛😛😛😀😀😀
Hakuna ujanja hapa
 
apart from Konyagi na juice ya azam, mbona sijawai gongana na brand yoyote kutoka tz?
 
Konyagi hukaa 2nd generation..Hio siezi kunywa....
hahaha. hio si kumikumi my friend. i used to drink it with my Tz friends ilipoingia kwa soko. si unajua bidhaa yoyote ikiingia kwa soko ni lazma tuikague.... but am a fan of Viceroy and Richot.... not much into the brown bottle - beer
 
Niletee wewe hio link sasa maneno ya nini hahahhahahahahah Nipe official link inayosema kenya airways imenunua ndege cash😀😀😀😀😀 Fanya assignment yangu plz😛😛😛
Usizuge Mara unajizungusha huku kule wewe Fanya assignment niliompa wanjala akakimbia
Kama umeamua kumsaidia wanjala then Fanya assignment nimekupa 2 days😛😛😛😛😀😀😀
Hakuna ujanja hapa
Pamoja na kuruka ruka hapa na pale, Leo ni siku ya tatu hujapata link ya wamiliki was dreamliner za Kenya airways hahahaha
Mimi sijaongelea cash wala sikua na haja ya kujua kama dreamliner wamenunua, wamekopa, wamepewa au wameiba. Ila ulivyosema wamekodi ndo nikataka nijue wamekodi KUTOKA WAPI? BAS! Ishu ndongo unaleta poooovu!

Maskini ya Mungu jana umekesha na povu ukitafuta wamiliki lakini bado hujapata Jamani🙁🙁........... endelea ku-google, ukiishiwa bundle chapisha namba nakuunganisha fasta coz naamini utapata! Yaani Huwezi kutokwa povu kiasi hicho alafu ukose! 😵😵
 
ichoboy01 pale anapotafuta link ya wamiliki wa dreamliner......... bundle ndo zinaisha, link haipatikaniView attachment 503229
Assignment yangu imekushinda 😀😀😀😀😀😀
Nilijua tu hahhaaha mwenzako wanjala kashindwa akakimbia ukajifanya we mjuaji sana
🙂😛😛😛😛😛
Lakini nimekupa siku mbili muda bado unao sana jitahidi usikate tamaa🙂🙂🙂
Niletee official source inayosema kua kenya airways imenunua ndege ya aina yoyote cash
🙂🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙂
 
Pamoja na kuruka ruka hapa na pale, Leo ni siku ya tatu hujapata link ya wamiliki was dreamliner za Kenya airways hahahaha
Mimi sijaongelea cash wala sikua na haja ya kujua kama dreamliner wamenunua, wamekopa, wamepewa au wameiba. Ila ulivyosema wamekodi ndo nikataka nijue wamekodi KUTOKA WAPI? BAS! Ishu ndongo unaleta poooovu!

Maskini ya Mungu jana umekesha na povu ukitafuta wamiliki lakini bado hujapata Jamani🙁🙁........... endelea ku-google, ukiishiwa bundle chapisha namba nakuunganisha fasta coz naamini utapata! Yaani Huwezi kutokwa povu kiasi hicho alafu ukose! 😵😵
Assignment yangu imekushinda hahahahaha
Sifa punguzeni, sasa kma hujui kama wamenunua watamiliki vipi sasa au nyie ndie manufacturer 😀😀😀😀😀
Umenistaajabisha yani shirika lenu hujui linaendeshwa vipi hahhahahahhaha 🙂🙂🙂
Leta official source inayosema kenya imenunua ndege ya aina yoyote sio tu dreamliner ndege ya aina yoyote hahahhahahhaha🙂🙂🙂🙂
 
Assignment yangu imekushinda 😀😀😀😀😀😀
Nilijua tu hahhaaha mwenzako wanjala kashindwa akakimbia ukajifanya we mjuaji sana
🙂😛😛😛😛😛
Lakini nimekupa siku mbili muda bado unao sana jitahidi usikate tamaa🙂🙂🙂
Niletee official source inayosema kua kenya airways imenunua ndege ya aina yoyote cash
🙂🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙂
hehehehehehe.... sina mbavu!!! Usharuruka ruka sana toka juzi nakuangali alafu mimi nakomalia swali langu last toka juzi! Yani halijabadilika. Linasoma vile vile. Wamiliki was dreamliner ni nani? Swali dogo sana siku ya tatu Leo!
Mie kweli sijui kama walinunua cash au mkopo ntajuaje labda waliiba na ndo maana sijawai kuongelea. Basi wewe unaejua wamekodi tuambie wamekodi kutoka wapi? Siku ya tatu unatafuta! Hujapata tu! Hahahahaha😀
Sema tu kama hujui lakini kama Umeona ukwepe kwa staili hiyo pia hamna shida yote maisha mdogo Wangu. Punguza povu tu......
 
Sasa hujui kama walinunua ahahhahahaha
Hio ndio jibu nimekwambia kama walinunua cash kwa sifa mlizokua nazo dunia nzima ingejua sasa niletee official source inayosema kenya airways imenunua ndege ya aina yoyote sio tu dream liner ndege ya aina yoyote😀😀😀
Muda unao umebakiza siku moja do my assignment please🙂🙂🙂🙂
Alishindwa wanjala umekuja wewe sasa tafuta hio source kua kenya airways imenunua ndege cash ya aina yoyote 😛😛😛
Huwezi kujibu kwasabbu ukweli unaujua hahhahahahhahaha 🙂🙂🙂🙂
 
Back
Top Bottom