Mjomba sijachukia kabisa, nakupeni vigongo vyenu tu. Sisi watanzania tuko wastaarabu kama unayosema, wala hamna shida... Vigongo tu vya ujanja ujanja wakibongo mpaka mnyooke! Mwenyewe umepoa..Hey mberoya nothing personal here...i all the jibes we throw here some are for fun not to belittle anyone.mwenzako babarosa pia kanirekebisha ila sikuchukulia personal maana najua sina ubaya na mtanzania.Nikiwa ata home mimi hupenda kuenda starehe zake sirare upande wa tz maana naona kidogo wastaarabu kuliko huku kwetu na kubadilisha mazingira kidogo maana huku fuju fujo nyingi tu. hope you get never take anything from social media personal at all
Husicheze na wabongo!
Nai-robberyYenu hii pangaboy, simjaribu pia kulease??Muulize wanjala anajua zaidi😀😀😀😀😀
Sisi hatulease sisi tunanunua cash na dreamliner ikiwemo ndege 9 cash baba hehehehehhehehe😀😀😀😀😀😀Yenu hii pangaboy, simjaribu pia kulease??
Wazazi wako pia wako hivi?Ukweli mchungu enhhhhh😀😀😀😀
Wazee wa chawapoke.....chama cha watoa povu kenya😀😀😀😀😀😀😀Wazazi wako pia wako hivi?