Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya njaa tu Kuna dada hapa mkenya anashida sana jirani yangu anamsaidia chakula lkini akianza kupiga story za kusifia Kenya mm najiuliza mbona amekimbia huko na in one kana ametoka familia duni sana!
 
Noise is too much from Tanzania, but we will continue showing you that you are still way back in relation to Kenya, We just do it here on JF your own site, just as we do on Nairaland!
We are the People,
We are Kenyans
 
Leased in your dreams, no dreamliner in Kenya is leased, It is Kenya that has leased some to other airlines, najua Wabongo huwa mnataka muonekane mnakaribia Kenya!! Mko mbali sana, ni kama Kenya ilivyokuwa 1970

KQN is the Pride of Africa, EVen South African Air Bows to the King
Nioneshe source yoyote kua kenya imenunua ndege ya aina yoyote, nioneshe facts now
 
Back to Nairobi
This is life in Nairobi
ibP79Dm.jpg

SDkYScZ.jpg

33012290040_d11f387ec6_b.jpg

33267026651_042caff54e_b.jpg

33239423602_796da4ef85_b.jpg
 
Utanieleza nn kuhusu kenya sijawah kuona sehemu maisha ni magumu kama kenya na watu ni masikini wakutupa
We don't have time for cheap smear campaigns against Danganyika, Hivi nyinyi hufanya, mkikimbia hapa na news mbaya kutoka Kenya, Tukiamua tuanze na Magufuli atafunga hii forum, usicheze na Wakenya, hao ni Nyang'ua. We know what we are doing.
 
Nioneshe source yoyote kua kenya imenunua ndege ya aina yoyote, nioneshe facts now
Punguza wivu all dreamliners were bought, nowonder Titus Naikuni is very wealthy now,kama zingekua leased when kq made losses zingekua repossed, mpaka common sense utafunzwa?
 
Leased in your dreams, no dreamliner in Kenya is leased, It is Kenya that has leased some to other airlines, najua Wabongo huwa mnataka muonekane mnakaribia Kenya!! Mko mbali sana, ni kama Kenya ilivyokuwa 1970

KQN is the Pride of Africa, EVen South African Air Bows to the King
Hawa wananunua dreamliner moja wanaona wamefikia American Airlines sasa, the skies have a lot of turbulence nowadays especially in Africa, the aviation sector has not been very good
 
It is always more prudent you know something before mouthing,
The 10 Dreamliner 787's were ordered and built by Boeing, they were manufactured under an order
Kenya Airways acquires Boeing 787 Dreamliner | The Herald
Hvi wewe wanjala akili yako hua iko timamu????? Nimekwambia niletee source kua kenya airways imenunua ndege cash ya aina yoyote niletee facts hapa, ndege zote unazoziona kenya airways zote ni za kulease hakuna ndege hata moja kenya airways wamenunua cash',,,,,,,,, tuliza ubongo😀😀😀😀
 
Hawa wananunua dreamliner moja wanaona wamefikia American Airlines sasa, the skies have a lot of turbulence nowadays especially in Africa, the aviation sector has not been very good
Niletee source acha maneno mengi kua kenya airways imenunua ndege cash ya aina yoyote sio tu dream liner ya aina yoyote
 
Punguza wivu all dreamliners were bought, nowonder Titus Naikuni is very wealthy now,kama zingekua leased when kq made losses zingekua repossed, mpaka common sense utafunzwa?
Hahahahah facts umekosa 😀😀😀😀
 
Hvi wewe wanjala akili yako hua iko timamu????? Nimekwambia niletee source kua kenya airways imenunua ndege cash ya aina yoyote niletee facts hapa, ndege zote unazoziona kenya airways zote ni za kulease hakuna ndege hata moja kenya airways wamenunua cash',,,,,,,,, tuliza ubongo😀😀😀😀
Sio usome hiyo taarifa acha kuwa zuzu, ulitaka nikuletee receipt hata kama Wabongo ni Mazuzu, wewe umezidi wote
 
We don't have time for cheap smear campaigns against Danganyika, Hivi nyinyi hufanya, mkikimbia hapa na news mbaya kutoka Kenya, Tukiamua tuanze na Magufuli atafunga hii forum, usicheze na Wakenya, hao ni Nyang'ua. We know what we are doing.
Mbona povuuuuu sasa hahahahahhaahahahha
 
Sio usome hiyo taarifa acha kuwa zuzu, ulitaka nikuletee receipt hata kama Wabongo ni Mazuzu, wewe umezidi wote
Wanjala mkenya anaenifurahisha sana amekosa facts kwa kifupi ndio ufahamu kwanzia leo kua ndege zote za kenya airways ni za kulease....asante kwa kunielewa
 
Back
Top Bottom