Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1547116354740.png
 
Unajua kinachowaumiza wakenya ni pale wao wanajitahidi kuweka picha nzuri za majengo, barabara, madaraja halafu watanzania wao wanaweka hizo hizo picha za barabara 12, kigamboni bridge, mkapa bridge, Terminal III, pia mnaweka Serengeti ,,ngorongoro crater, Tanzanite(one and only in the world), stigliers gorge, standard Geji, Kilimanjaro mountain, kinachowauma zaidi wakenya wanajiuliza kwanini Tanzania inapendelewa kuwa nchi pekee Africa mipaka yake ni bahari na maziwa na mbuga za wanyama,, kibaya zaidi ni pale wanapoona ktk NTV wanyama pori wao wanapofungasha virago kuja Tanzania nchi ya asali,,wakenya pambaneni na hali zenu pambaneni na mungiki

Sent using Jamii Forums mobile app
mm nadhani huwa wanaumia zaid wakiangalia raman yao na tz wanauona kabisa mlima kilimanjaro upo kwao lkn ukitaka kupanda eti lzm uende tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mi nikuambie tu, hii thread kwa sasa kuna utulivu mkubwa sana na kama mtu mzima mwenye uelewa kama unakuja hapa kucompare hiyo nchi yenu na Tanzania tafadhali acha kabisa maana kulikuwa na squad hapa ya wakenya ila leo wako mitini, sasa wewe mmoja usidhani kuwa we can't take you down in an instant.
Sio mgeni kwenye uzi yule,kaja na id nyingine yule zoba
 
Back
Top Bottom