TheCrazy Mchokozi
Senior Member
- Apr 7, 2017
- 181
- 252
Mtazamo Wangu kwa Swala la Nairobi na Dar
Kwa sababu nimekaa Nairobi kwa muda wa mwaka mmoja na pia Dar, kuna kitu nimegundua. Ni ngumu kufananisha aya majiji mawili.
Dar kwa mtazamo wangu ina urban planning nzuri kuliko Nairobi. Kwa mfano Ubungo mahali ilipo na CBD inaipa dar nafasi yakujitanua na pia ni kiashiria Dar ina nafasi kubwa (approx 10km from Ubungo to CBD)
Nairobi kutoka Machakos Country Bus( Nairobi's main bus terminal) kwenda CBD ni approx 4km. Kwa hili tu linaonesha Nairobi ni ndogo.
Advantage ya Nairobi kwa Dar ni popularity yake na sifa yake ya kuwa mji mkubwa zamani( Nairobi ni headquarter ya mashirika makubwa duniani na Afrika)
Kwa sasa naomba nirudie, kwa mtazamo wangu picha hazitaweza ku-compare haya majiji mawili ila kwa kifupi. Kuna uniqueness ya Nairobi na pia kuna Uniqueness ya Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app