Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Atafananisha na mombasaDid you see this cable bridge while you were in Dar es salaam..??.View attachment 990430View attachment 990431View attachment 990432




Magari ninayo na sio mawili nimeuliza investment ambayo umefanya huu mwaka sio kupost gari,unaweza ukawa na gari na huna any tangible investment.
Alikuja na Modern bus service akashuka UBT ambayo kwao hakuna hapo hathubutu kufikaDid you see the modern Terminal 3 when you were landing at JNIA...?View attachment 990448View attachment 990449View attachment 990451View attachment 990453
Mombasa sio level yako,ile pesa Mombasa inaingiza hata dar haifikii.
Hivi umekerwa na nini, pilipili shambani nyumbani wawashwa na nini?Alikuja na Modern bus service akashuka UBT ambayo kwao hakuna hapo hathubutu kufika
Sent using Jamii Forums mobile app
Yahya.So unahisi sie ni wapigadebe hatuna kazi za kujiingizia kipato. Unakwama sana
injinia soma hiyoooooooooooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesoma heading ya uzi lakini?Magari ninayo na sio mawili nimeuliza investment ambayo umefanya huu mwaka sio kupost gari,unaweza ukawa na gari na huna any tangible investment.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya kawaida wapi???😂😂😂😂How does that add a bread to your table? Huku kwetu we don't celebrate airports maana ni mambo ya kawaida tu .ungekua unasherehekea maendeleo yale umefanya maishani mwako sio viwanja vya ndege.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eh Mungu baba
Mkubali kua safarii hii tanzania inawapumulia kisogoni😂😂😂
👏👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👇👇👇👇
Hivyo ni vitu vya kawaida tu,KQ ziko ngapi ? Tena Boeing na hatupigii watu kelele.
leased aircrafts is what you are talking about, we BUY with our own damn MONEYHivyo ni vitu vya kawaida tu,KQ ziko ngapi ? Tena Boeing na hatupigii watu kelele.
Sent using Jamii Forums mobile app