Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NALA MONEY

Check out NALA Money (@NALAmoney): NALA Money (@NALAmoney) | Twitter
IMG_20190109_230603.jpeg
IMG_20190109_231303.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtazamo Wangu kwa Swala la Nairobi na Dar

Kwa sababu nimekaa Nairobi kwa muda wa mwaka mmoja na pia Dar, kuna kitu nimegundua. Ni ngumu kufananisha aya majiji mawili.

Dar kwa mtazamo wangu ina urban planning nzuri kuliko Nairobi. Kwa mfano Ubungo mahali ilipo na CBD inaipa dar nafasi yakujitanua na pia ni kiashiria Dar ina nafasi kubwa (approx 10km from Ubungo to CBD)

Nairobi kutoka Machakos Country Bus( Nairobi's main bus terminal) kwenda CBD ni approx 4km. Kwa hili tu linaonesha Nairobi ni ndogo.

Advantage ya Nairobi kwa Dar ni popularity yake na sifa yake ya kuwa mji mkubwa zamani( Nairobi ni headquarter ya mashirika makubwa duniani na Afrika)

Kwa sasa naomba nirudie, kwa mtazamo wangu picha hazitaweza ku-compare haya majiji mawili ila kwa kifupi. Kuna uniqueness ya Nairobi na pia kuna Uniqueness ya Dar.



Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji122][emoji122][emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magari ninayo na sio mawili nimeuliza investment ambayo umefanya huu mwaka sio kupost gari,unaweza ukawa na gari na huna any tangible investment.

Sent using Jamii Forums mobile app

mtu gan huyoo anamiliki magari wawili na nyumba kubwa kama hio na asiwe na investment??? heri unyamaze ufiche ujinga wako!!
 
You must be a fool of the highest order, if I may ask what is your company's turnover? If at all you have any. I don't deal with idiots.

Sent using Jamii Forums mobile app
You think to make money you need to have the so called company...That can only just be a name....Wewe huna kitu jobless...Am sure hata simu unatumia itakuwa ni kati ya hizi(Techno/Infinix/Itel)
 
Back
Top Bottom