Godwin Gen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2017
- 1,309
- 2,277
Halafu pia KLM ni among KQ owners
Hata aibu haipo, leased aircrafts unaziuzisha sura hapo, ndege zetu hatulease, tunanunua kwa pesa zetu, lucrative business
kwa ufupi mna ndege nne pekee
Post losses ambazo kq imekuwa ikipata kutokana na leasing deals zake na kukosa soko



mm nadhani huwa wanaumia zaid wakiangalia raman yao na tz wanauona kabisa mlima kilimanjaro upo kwao lkn ukitaka kupanda eti lzm uende tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaelewa kizungu? soma vizuriHata aibu haipo, leasd aircrafts unaziuzisha sura hapo, ndege zetu hatulease, tunanunua kwa pesa zetu, lucrative business
mwambie baba akoUnaelewa kizungu? soma vizuri
Leta source ya the so called "info" sio blabla za kikenya hatutakiUnaelewa kizungu? soma vizuri
Kwann iwe kwa ufupi...ndege ziko 6kwa ufupi mna ndege nne pekee
Mbona matusi,,mwambie baba ako
we leta source, unavyoniambia nisome kizungu unadhani mi sijasoma? unadhani sielewi English? Leta sourceMbona matusi,,
ujeruman alitutawala lkn kimtindo aliacha misingi imara kwa tz kuwa mbabe wa ukanda huu
AND this has only been done in three yrs...
WikipediaLeta source ya the so called "info" sio blabla za kikenya hatutaki



kwa ufupi mna ndege nne pekee














Hahaha mtarudi tu na id mpyaUnaelewa kizungu? soma vizuri