Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Umewapatia haswaaaa[emoji1][emoji1]Pole tena View attachment 956862
Umewapatia haswaaaa[emoji1][emoji1]Pole tena View attachment 956862
Usisahau kurasini interchange👇👇👇Ukae ukifaham kwamba highway inayojengwa kutoka kimara hadi kibaha inaflyover 2,weka ubungo interchange,kilwa road weka flyover mbili alafu tupia na mfugale flyover...
Plan iliyopo Ni kujenga zingine mwenge,Morroco, magomeni na pale kamata
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Ni kweli ila chakufurahisha msipate tabu hata hatutaki kufundishwa ,,,pambaneni na hali zenu.....Serikali haitakuwA inawaruhusu waje wakati wa likizo kuwafunza kiingereza. It's either you people are dunderheads or they don't know how to teach
Hii wangeivuta hadi chalinze ingepeneza
Hiyo ndiyo mega classic city[emoji1][emoji1][emoji1] naona banda limejengwa kwa tope
Hivi ile ndege yao inayoenda moja kwa moja mpaka mamtoni bado ipo?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]na ushindani ndiyo huo ushaanza sasaWalistopisha safari maana ndege ya abiria 260 ilibeba vichwa 45 tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu ni wewe au ni kidonda 11View attachment 956040
Nairobi haina mwenzake hapa E.Aeastlands
View attachment 956262
Wewe pengine hujui kariokoo huku kwetu ni mtaa wa kawaida tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wakati mnaishi kwa slum nyinyi nyoteHii battle ifungwe sasa. mshindi ni DAR-ES-SALAAM
Kariakooo😂😂😂😂👇👇👇utapasukaWewe pengine hujui kariokoo huku kwetu ni mtaa wa kawaida tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 956892View attachment 956893
Wewe pengine hujui kariokoo huku kwetu ni mtaa wa kawaida tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 956892View attachment 956893
Wakati mnaishi kwa slum nyinyi nyoteView attachment 956898
wakenya hawawezi kukujibu kwasababu jibu kuhusu huo mradi si zuri.Hivi ile ndege yao inayoenda moja kwa moja mpaka mamtoni bado ipo?