Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

waisome hii kwa utulivu.
Screenshot_2018-12-05-11-35-57-837_com.instagram.android.jpeg
 
kahaba housemaid nilishakuupuza.
hata ujaribu kuni provoke kwa kiasi gani, sitabadili msimamo wangu wa kuto ku-qoute.

nitasimamia msimamo wangu mpaka july mwakani au naweza nika extend mpaka 2020.
 
Hii battle ifungwe sasa. mshindi ni DAR-ES-SALAAM
siku hii thread ikifungwa wakenya watafanya sherehe. wamekuwa wakiomba hilo jambo mwaka mzima huu. halafu moderator kawapuuza. [emoji23][emoji23]

sisi kwa upande wetu tunataka hii thread iendelee kutrend mpaka 2025. hopefully itakuwa hivyo, la muhimu ni kuomba uhai tu.
 
Hadi huruma kila siku wanachapwa na vipya tu. Hapo wanaombea nai yote ijengwe ma flaiova ili waje waringishie humu
siku hii thread ikifungwa wakenya watafanya sherehe. wamekuwa wakiomba hilo jambo mwaka mzima huu. halafu moderator kawapuuza. [emoji23][emoji23]

sisi kwa upande wetu tunataka hii thread iendelee kutrend mpaka 2025. hopefully itakuwa hivyo, la muhimu ni kuomba uhai tu.
 
wenyewe wanaendelea kusugua gaga na matatu ama kweli usimtukane mamba hujavuka mto
Wacha waendelee kutoatoa macho......lane 8 nakuendelea tunazingeneza huko pembezoni mwa mji.... Kwa sasa wacha tuboreshe usafiri bora in city center.....wataelewa tu
 
Back
Top Bottom