Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kariakoo on Uhuru Street.jpg
1.jpg


KARIAKOO TU.
 
Stupid. Aren't you the one who started all these? It seems you are promiscuous. Smh. Go interact with your fellow gays and your cheap women and leave Kenyan women alone. Whether they are ugly or not, it's their own lives. I've never encountered such racism before. Bongolalas are so pathetic.
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂 UMEPANIC BIBI.
MPO SHORT TEMPERED SANA.
 
Mimi sioni ubaya wa iyo picha 70s na 80s Nairobi already ilikuwa na skyline nyinyi ndio mnapata skyline yenyu 2014 alafu mnataka kushindana na Nairobi
Ahahahhahahahaha huoni ubaya wakat 2018 hakuna jengo ambalo halipo hapo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂👏👏👏👏👏
 
Wewe uko na akili kama ya kuku ,to prove you wrong nionyeshe britam tower hapo ama uap,ukipata initag....
Ngoja nikutafutie picha iliyo clear hivyo vibanda vyote vipo....
Wacha story za 1970...colourless picture enzi hizo bado kulikuwa na local camera h kwa huu ukanda wetu

Labda unijuze ndani ya hiyo miaka 1970&1980 mpiga picha alitumia type gani ya camera,alikuwa angle gani, aliitwa nani,ulizaliwa hiyo miaka 1970 &1980..?
 
Stupid. Aren't you the one who started all these? It seems you are promiscuous. Smh. Go interact with your fellow gays and your cheap women and leave Kenyan women alone. Whether they are ugly or not, it's their own lives. I've never encountered such racism before. Bongolalas are so pathetic.
Nilishakukanya kama usiwe unaquote quote watu hovyo....tulia uwe mtazamaji......au ushasahau....?
 
Quote:
NAIROBI, Kenya, Oct 9 2014 – Global Chinese manufacturing firm AVIC International Holding Corporation is expected to invest over Sh17.8 billion ($200million) in setting up its Africa Headquarters in Nairobi, Kenya.
Speaking during the launching ceremony in Nairobi, Avic International Africa Director Huang Hong You said they had decided to build their Africa headquarters in Nairobi not only due to their close relationship with, Kenya but due to the conducive business environment in the country.

“Our company has set up holding subsidiaries in major cities across China; has established over 110 branches in more than 50 countries and owns eight listed companies. In Africa, we have around 20 branches, and Kenya is planned as our headquarters in Africa,” Huang said.....

PROJECT YA MWAKA 2014 NA HAIPO LEO JITU LINAPAYUKA ETI INA 160FL.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom