Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya is beautiful
IMG_20181204_204655.jpg
IMG_20181204_125633.jpg
IMG_20181128_125719.jpg
 
Washamba hao, wamekosa vitu vya maana vya kushindanisha wanaleta upuuzi, bora washindanishe slums wataongoza Africa mzima.
Aisee acha uboya kwan foleni za magari ndio maendeleo? Dar ilikuwa na foleni kali sana miaka iliyopita lkn kila siku inatafutwa namna ya kupunguza tatizo... siku hizi watu wanaacha magar kimara na mbezi wanachukua BRT na mambo yanakuwa smooth... pambaneni na hizo foleni zenu, solution sio kupanua barabara maana wote mtakutana pale junction foleni kubwa itaanza.... tafuteni barabara zaidi watu wasitegemee moja sasa hapo laja swala la ardhi.... majib mnayo
 
Nkt! You don't even make any sense. Huyo mtu unaita Ugly is Currently the greatest marathoner of all time, yani kwa

*football-Pelé(Black)
*Golf-Tiger(Black)
*Tennis-Williams(Black)
*Marathon-Kipchoge(Black)
*Boxing-Mike Tyson(Black)
*F1-Hamilton(Black)
*Sprinting-Husain Bolt(Black)

Na ndio maana Ubongolala yako na wenzako imewaweka nyuma ya Kenya na dunia. God will always favour the humble and destroy the envious. Proudly black and Kenyan. Wacha warembo wa Tz waendelee kutupigia kelele kenya ikizidi kujitambua.

View attachment 955929View attachment 955930View attachment 955931View attachment 955932View attachment 955933View attachment 955934View attachment 955935View attachment 955936
hukuweka the great Obama Barrack
 
Back
Top Bottom