Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukae ukifaham kwamba highway inayojengwa kutoka kimara hadi kibaha inaflyover 2,weka ubungo interchange,kilwa road weka flyover mbili alafu tupia na mfugale flyover...
Plan iliyopo Ni kujenga zingine mwenge,Morroco, magomeni na pale kamata

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Mkuu nalifahamu hilo ndiyo maana nikasema zaidi ya 7. Hapo umesahau ya Kigamboni bridge. Pia kwenye New Salenda bridge kwenye mdomo lazima waweke interchange (fly over). Ni balaaa yani Bongo kama Newyork
 
Ukae ukifaham kwamba highway inayojengwa kutoka kimara hadi kibaha inaflyover 2,weka ubungo interchange,kilwa road weka flyover mbili alafu tupia na mfugale flyover...
Plan iliyopo Ni kujenga zingine mwenge,Morroco, magomeni na pale kamata

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Ni hatari tupu tunataka watu town waingie kwa kuserereka mwanzo mwisho......
 
Lol..... Naona Wale wanafunzi wa darasa la NNE kutoka Kenya wameshindwa na kazi huko bongo.
Ndiyo.......ujue kuna vitu huwa napenda sana kuvisema,,,,,,,if stupid can destroy their brain make sure your IQ it remain to be stupidity,idiot & crazless....

Nipe 5 mrembo...
 
illusions galore
Pole
Screenshot_2018-12-05-09-29-33.png
 
Ndiyo.......ujue kuna vitu huwa napenda sana kuvisema,,,,,,,if stupid can destroy their brain make sure your IQ it remain to be stupidity,idiot & crazless....

Nipe 5 mrembo...
Serikali haitakuwA inawaruhusu waje wakati wa likizo kuwafunza kiingereza. It's either you people are dunderheads or they don't know how to teach
 
Back
Top Bottom