Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Ni kweli kabisa na kwa hiko kipindi hakika hawa hatuto debate nao tena tutaachana nao kwani tutakuwa level ya juu,,,waamie kwenye battle na burundi....tushawaacha hawasiku hii thread ikifungwa wakenya watafanya sherehe. wamekuwa wakiomba hilo jambo mwaka mzima huu. halafu moderator kawapuuza.
sisi kwa upande wetu tunataka hii thread iendelee kutrend mpaka 2025. hopefully itakuwa hivyo, la muhimu ni kuomba uhai tu.

