Hizo takataka tupia kwa jalala mazee"SOUL" in real life Vs "SOUL" in playstoreView attachment 955126View attachment 955127


Mjipange sana wazee
Wewe uko na akili mzuri? Mimi natataka picha ya izo Barbara si izi map ya kijinga...na kama unajiami na dar na bara bara umipe picha moja nakujibu na mbiliHii ni road map ya dar almost 500km
sasa niletee road map ya nairobi ikizidi 200km nitag nasubiria
View attachment 955044



Picha huahazidaganyi nionyedhe hizo highways kea hii pichaHii ni road map ya dar almost 500km
sasa niletee road map ya nairobi ikizidi 200km nitag nasubiria
View attachment 955044
Toa hizi takataka hapa ata hauna aibu ukionyesha huu uchafu?Kwa upande wa TANZANIA mambo ni moto tunazidi kuona Jiji la Dar es salaam likirndelea kuboresha na kuunda miundo mbinu mipya kwa upande wa barabara ili kupunguza jamz barabarani na hakika mipango na project zinaenda sawa nakufanikisha tatizo la jamz kupungua ....
Ila chakusikitisha kwa upande wa majirani zetu kutoka kenya jiji lao la nairobi limekuwa ni jiji chafu na lipo hoi bin taabani na hii yote ni kwasababu wamefel mioango na wameishiwa mbinu na kufanya kajiji ka nairobi kawe kamejifinya eneo moja nakuzidi kuzalisha majobless kadri siku zinavyozidi songa...
KIDOGO TUPATE PUCHA KADHAA ZA MODERN CITY DAR ES SALAAM CITY..KONKI
View attachment 955034View attachment 955035View attachment 955036View attachment 955037View attachment 955039View attachment 955040
Hakuna hoteli poa ya rates za 100usd per night?pesa Niko nayo bt ikikuja ni holidays nakuanga strictly on budget.holiday sio kama business trip ati pesa itarudi,hairudi buda....Nenda kugali......au bujumbura huku haupawezi hauna pesa....![]()
Shukran... kindly ebu suggest hoteli mbili ama tatu za iyo rate 100usd nifanye research kidogo .. thanks.Okey,ukifika hapa mjni sehemu za kutumia mapene utazifaham tu kwa upande wa makazi fikiria zaidi maeneo ya mikocheni Au Sinza,kama umejiunga na uber inakua rahisi au pia unaweza tumia usafiri wa tax wa kawaida,kwa bei zako izo unapata lodge nzuri sana hapa Dar lodge sio bei kubwa hata...
Kwakua umetokea Nbo ingekua vizur ukae maeneo ambapo Ni karibu na bahari beach hivi inakua poa zaidi...pendelea mikocheni,mbezi beach Au hata masaki /oysterbay unapata lodge kwa bei yako bila shaka
Dar es salaam CBD bus stage
View attachment 954705
Kigali CBD bus stage
View attachment 954709
Nairobi CBD bus stage
View attachment 954706View attachment 954707View attachment 954708












Nyingi ni Vitz, Passo na corollaThose are private cars. Nioneshe Dar ukiwa na jam ya private carsView attachment 954744View attachment 954747
Ndo usubiri uone bwege wewe airport na stadium zinahusianaje, upo uwanja wa ndege japo sio mkubwaHow can you construct a stadium in Dododma ??...Dodoma doesnt have an Airport,has bad roads,looks like isiolo...how??
Haya muzungu,.coz ndo mnachojifunza for years ila sio maarifa"its the matter of time" Buda si utumie tu kiswahili....hhahahahhahahaha
I think Tz ndio zikona the worst quality ive seen,like what do.you mean?Mbona TV za kenya zina-quality mbovu sana,yaani picha huwa zinapauka ile mbaya
We jamaa bhana utawafanya wakimbie kabisaaKulingana na ujinga wa kukosa reason za msingi basi nikusaidie kitu kidogo tu Nairobi ina car na watu wengi kuliko nchi yeyote hapa duniani
ulisahau HATA HII NI PRIVATE PEOPLE
View attachment 954913






eti private pipoNdo mjenge feeder roads nyingi sio kutegemea road moja wehu nyieLet's picha tukupe theka road foleni ya over20kms
Hapa itabidi mbomoe Dar slum karibia yote sababu slum area ni 92%Wachovu kila mahali wapo tu,kumbuka city hua lazima iwe na watu wa aina zote, well kuna mabadiliko kwa sasa nadhan mji umepimwa upya lazima watafanya demolition baadhi ya maeneo na kujenga upya...
We makalio sa hapo utaona barabara kweli? Au unajifurahisha tu