Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

24BE098A-3050-4A1F-985A-9B75E915D20F.jpeg
0A4DA7A5-7646-4E66-8DA9-8AC982BDB8F4.jpeg
8DDADA76-4AF5-461E-867D-B4ABE1725A65.jpeg
0AAAC65E-206C-4DEE-84B8-E883F6B0704B.jpeg
9F86B77C-A072-46FE-BB14-1AEC061B7C7F.jpeg
F13F555B-5408-4BD1-9E81-D345E541A80D.jpeg
95E87D46-58A7-4466-B94B-4CA3502D7984.jpeg
 
Ebu niambie hoteli poa ya between 7000ksh to 10000ksh per night for like 5days uni inbox ,nilikua nafikiria kwenda Kigali for this Christmas dadangu alikuwa uko August na alipasifia sana bt naeza consider kukuja dar,alafu uniambie maneno ya night clubs coz Mimi I like clubing alot na pia usisahau maneno ya night life venye yukua...thanks .
Okey,ukifika hapa mjni sehemu za kutumia mapene utazifaham tu kwa upande wa makazi fikiria zaidi maeneo ya mikocheni Au Sinza,kama umejiunga na uber inakua rahisi au pia unaweza tumia usafiri wa tax wa kawaida,kwa bei zako izo unapata lodge nzuri sana hapa Dar lodge sio bei kubwa hata...
Kwakua umetokea Nbo ingekua vizur ukae maeneo ambapo Ni karibu na bahari beach hivi inakua poa zaidi...pendelea mikocheni,mbezi beach Au hata masaki /oysterbay unapata lodge kwa bei yako bila shaka
 
Tafuta kamba buda yani unapewa stress na kenya siku yote uko news ya kenya.
Nimekuuliza hayo majengo ni ya ngara 😂😂😂😂😂😂 hutaki kujibu hamutaki kuambiwa ukweli hvi ndio nairobi CBD hua bila ya makeup👏👏👏👏
A3A1C8F0-21AA-42A9-9A15-16569C6E72DB.jpeg
7B6BC07E-BA8A-4D2E-A855-AAF62B518F44.jpeg
 
Ooooooohhhh shit!!!..indicators for failed states,mtu anaamua hakuna matatu cbd,na huku alternative hana!!..illiteracy is real in nairobians,

Nairobi is pathetic..
Hata ile only BRT waliamka asbuhi wakaanza kuchora barabara na kupoteza pesa za tax payers😂😂😂😂😂 wakajua BRT ni kama kula andazi
 
Kwa upande wa TANZANIA mambo ni moto tunazidi kuona Jiji la Dar es salaam likirndelea kuboresha na kuunda miundo mbinu mipya kwa upande wa barabara ili kupunguza jamz barabarani na hakika mipango na project zinaenda sawa nakufanikisha tatizo la jamz kupungua ....

Ila chakusikitisha kwa upande wa majirani zetu kutoka kenya jiji lao la nairobi limekuwa ni jiji chafu na lipo hoi bin taabani na hii yote ni kwasababu wamefel mioango na wameishiwa mbinu na kufanya kajiji ka nairobi kawe kamejifinya eneo moja nakuzidi kuzalisha majobless kadri siku zinavyozidi songa...


KIDOGO TUPATE PUCHA KADHAA ZA MODERN CITY DAR ES SALAAM CITY..KONKI
3. (2).jpeg
index.jpeg
unnamed (2).jpeg
unnamed.jpeg
Mwenge - Morocco Road in Dar.jpeg
Tazara.jpeg
 
Buda sina time na wewe...kenya itakua milele wewe utakufa uwache kenya..uko news ya kenya from 6am - 12am kila siku...stress itakuaa..nugu
Itakua when kwa maisha gani??? Labda kwenye slums, hunger, unemployment rate, below poverty line, gap btn poor and rich, corruption, police killing, etc bila kusau ile laana mlioachiwa ya wizi😂😂😂
 
Itakua when kwa maisha gani??? Labda kwenye slums, hunger, unemployment rate, below poverty line, gap btn poor and rich, corruption, police killing, etc bila kusau ile laana mlioachiwa ya wizi
Haha kenya uko news yake kila saa hauna ata aibu..live your life dude
 
( " you dumb fool, leave me the hell alone " ) Is this the English you learnt in Seattle ?.
Acha kukariri lugha za watu..sasa hapo kakosea nini?..wakenya bwana english haipo kenya pekee you gotta know..!
 
Back
Top Bottom