Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndogo kundu
tapatalk_1543436399910.jpeg
 
Okey,ukifika hapa mjni sehemu za kutumia mapene utazifaham tu kwa upande wa makazi fikiria zaidi maeneo ya mikocheni Au Sinza,kama umejiunga na uber inakua rahisi au pia unaweza tumia usafiri wa tax wa kawaida,kwa bei zako izo unapata lodge nzuri sana hapa Dar lodge sio bei kubwa hata...
Kwakua umetokea Nbo ingekua vizur ukae maeneo ambapo Ni karibu na bahari beach hivi inakua poa zaidi...pendelea mikocheni,mbezi beach Au hata masaki /oysterbay unapata lodge kwa bei yako bila shaka
Mikocheni is good place not far from town
 
Hua nasema Nairobi ni kubwa sana kwa Dar slum mnakata......sasa mwenzenu amechanganikiwa hadi anasema New Ngara eti ni Cbd ya Nairobi....New Ngara na kariokoo hapo chini
tapatalk_1543896713527.jpeg
tapatalk_1540551819057.jpeg
 
Wazee wa NAIROBI naombeni picha za stendi zenu za kisasa za mabasi au matatu, please, KITUO KIZURI NI CHA SGR MOMBASA NA NAIROBI TU
 
Hua nasema Nairobi ni kubwa sana kwa Dar slum mnakata......sasa mwenzenu amechanganikiwa hadi anasema New Ngara eti ni Cbd ya Nairobi....New Ngara na kariokoo hapo chiniView attachment 955185View attachment 955190
😂😂😂😂😂👇👇👇CBD
 
Yani mtu alivo mjinga na mji ulivo congested anafurahia kuona gari zimenasa barabarani 😂😂😂😂😂😂 dar foleni ya kipuuzi kama hio huwez kuta na sasa hvi wanajitahidi kufungua barabara mpya kila leo
 
Back
Top Bottom