Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
mda mwingine hata kama unajijua we ni zero basi jitahidi hata kutumia skili ya ziadi uliyozaliwa nayo au hata akili yakuibia,,unapotaka kuziona barabara kupitia picha isiyo eleweka na ikiwa haina ubora ni sawa na kipofu kumuonyesha mtu ambaye si kipofu pesa iliyofichwa chooni[emoji1][emoji1][emoji1]Picha huahazidaganyi nionyedhe hizo highways kea hii pichaView attachment 955172View attachment 955173View attachment 955174
Labda utasaidie wewe hapa ni nairobi labda utuonyeshe barabara kupitia hii picha
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]