Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inajaza ile brt yao yote hadi zingine ziongezwe kwa presidential escort yao. Plus MPs wao wapewe kila mmoja. [emoji23]
Wenzenu tunapanga kwa kutekeleza ni jinsi gani yakupunguza foleni nyie mnajisifia kuwa na Jamz [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Uko tushatoka na tunachofanya nikuboresha kila eneo ikiwemo utaratibu mzuri wa CITY TRANSPOT pia bila kusahau barabara kuboreshwa zaidi ndiyo maana tutawaacha milele
System yenu kuanzia traffic mpaka city transiport utaratibu wenu ni m'bovu

Huku tunapakimbia mdogo mdogo hatutaki foleni za kijinga city center na maeneo yaliyo karibu na town
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
traffic-jam2.jpeg
 
So unataka kushindana na dar kwenye total roads in km [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akili yako unaoda dar imeisha hapo???? Upanga iko wapi??? Kariakoo iko wapi??? Kijitonyama iko wapi?? Magomeni and ilala zikwapi??? Ubungo iko wapi???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa dar utapasuka

Sio kama hii city nzima inakaa kwenye picha moja[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 954991
Halafu ni kwa picha yakaribu tu je ikipigwa kwa mbali si itakuwa Siafu n jangwa city
 
Wenzenu tunapanga kwa kutekeleza ni jinsi gani yakupunguza foleni nyie mnajisifia kuwa na Jamz [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Uko tushatoka na tunachofanya nikuboresha kila eneo ikiwemo utaratibu mzuri wa CITY TRANSPOT pia bila kusahau barabara kuboreshwa zaidi ndiyo maana tutawaacha milele
System yenu kuanzia traffic mpaka city transiport utaratibu wenu ni m'bovu

Huku tunapakimbia mdogo mdogo hatutaki foleni za kijinga city center na maeneo yaliyo karibu na town
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 955046
Nairobi jam haiepukiki kwasababu iko very congested mm nimetolea mfano mdogo sana mm nikitoka CBD nina njia tofaut 6 za kufika ilala hio jam yakipuuzi itatokea wapi
 
Hamupendi ukweli yani mko radhi kuvaa suti lakini ushindie andazi moja kwa siku[emoji23][emoji23][emoji23] ili mzungu asijue tu kua ww ni maskini
We kwenda uko....uko hapa 24/7 ukiongelea kenya.....endelea wacha mimi ni lale.
 
Halafu ni kwa picha yakaribu tu je ikipigwa kwa mbali si itakuwa Siafu n jangwa city
Jubilee wamefeli sema sasa kukubali direct kua wamefeli ni aibu sasa wanaforce huku na kule bila kuangalia athari, mwanzo walikuja na idea ya kupaka rangi barabara na kuchora only BRT imefeli sasa wamekuja na style nyingine na hawana alternative ways😂😂😂😂
 
Nairobi jam haiepukiki kwasababu iko very congested mm nimetolea mfano mdogo sana mm nikitoka CBD nina njia tofaut 6 za kufika ilala hio jam yakipuuzi itatokea wapi
Kabisa yaani wakenya ni wapuuzi sana naona wamemaliza kupost picha zao zote za road nazimeisha angali dar hatujawaonyesha hata robo ya barabara zilizopo pembezoni[emoji2][emoji2]

Wao wanabaki na zile zile tu mara thika road mara mombasa road yaani ndiyo mwisho wao hapo
.
 
Sisi tunapambana kuondoa jam,wewe unashangilia kuwepo na jam Nairobi..
Aisee kweli kila mtu ana akili yake..
Hawa majamaa hawaishiwi vituko na yaonyesha ni jinsi gani akili ya mkenya ipo corrupted[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Wasafi festival morogoro[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Yaani huyo mwamba anakili sana yakibiashara kwenye huu mziki....ngoma
inazunguka mpaka kenya hiyo [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Hakuna na haitotokea milele mkenya yeyote kuwa na akili yakibiashara nakuweza kurun east n all africa kwa music industry na harakati nyinginezo
 
baadhi ya maeneo University of Dar es salaam,,,maana picha bado haijatosha imeacha maeneo kibao
.yaani hiki chuo nikikubwa kuliko town zote za Nairobi
Screenshot_2018-12-04-00-23-19_1.jpeg
Screenshot_2018-12-04-00-26-26_1.jpeg
Screenshot_2018-12-04-00-27-03_1.jpeg
 
Attachments

  • Screenshot_2018-12-04-00-26-26_1.jpeg
    Screenshot_2018-12-04-00-26-26_1.jpeg
    220.1 KB · Views: 25
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Noma sana.........ujue hawa wabongo huwa hakuna kitu wanajuanga fanya kila kitu hamuwezi....

#Hizo ndiyo kauli za manyang'au wakikenya[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom